Mbundi John (@johnmbundi) 's Twitter Profile
Mbundi John

@johnmbundi

A fact of life we all die.But the positive impact you have on others 'll be a living legacy..!

#ElimikaWikiendi #MUFC #SimbaSC

ID: 1572855192

calendar_today06-07-2013 14:08:45

224,224K Tweet

6,6K Followers

1,1K Following

Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Siku ya Jumatano na #LogicDay, @unesco inaeleza jinsi mantiki inavyochukua nafasi muhimu katika amani na maendeleo endelevu: Fahamu zaidi kupitia UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳: unesco.org/en/days/world-…

Siku ya Jumatano na #LogicDay, @unesco inaeleza jinsi mantiki inavyochukua nafasi muhimu katika amani na maendeleo endelevu:

Fahamu zaidi kupitia UNESCO 🏛️ #Education #Sciences #Culture 🇺🇳: unesco.org/en/days/world-…
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Ukuaji wa uchumi unaendelea, lakini ubora wa ajira umesimama. Ripoti mpya ya @ILO ya 2026 inaonyesha: - Watu milioni 186 bado hawana ajira. - Vijana na wanawake wanaendelea kuachwa nyuma. - AI na sintofahamu ya biashara vinaongeza hatari sokoni. Zaidi: ilo.org/resource/news/…

Ukuaji wa uchumi unaendelea, lakini ubora wa ajira umesimama.

Ripoti mpya ya @ILO ya 2026 inaonyesha:

- Watu milioni 186 bado hawana ajira.
- Vijana na wanawake wanaendelea kuachwa nyuma.
- AI na sintofahamu ya biashara vinaongeza hatari sokoni.

Zaidi: ilo.org/resource/news/…
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mzazi jitahidi kutenga muda maalum wa kumuelekeza mtoto kutumia programu za kidijitali zitakazomsaidia kukuza uelewa, kujifunza na kufikiri. Usiache kumfuatilia mara kwa mara ili kudhibiti maudhui ya hatarishi. #ChildOnlineSafety #MtandaoSalamaKizaziMakini

Mzazi jitahidi kutenga muda maalum wa kumuelekeza mtoto kutumia programu za kidijitali zitakazomsaidia kukuza uelewa, kujifunza na kufikiri.

Usiache kumfuatilia mara kwa mara ili kudhibiti maudhui ya hatarishi.
#ChildOnlineSafety
#MtandaoSalamaKizaziMakini
Habari za UN (@habarizaun) 's Twitter Profile Photo

Fahamu jinsi walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka #Pakistan 🇵🇰 ⬇️ wanaohudumu #UNMISS wanavyosaidia wananchi kukabiliana na mafuriko nchini #SouthSudan 🇸🇸. Wanaboresha kingo za maji ili maisha yawe bora. UNMISS news.un.org/sw/story/2026/…

Fahamu jinsi walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka #Pakistan 🇵🇰 ⬇️ wanaohudumu #UNMISS wanavyosaidia wananchi kukabiliana na mafuriko nchini #SouthSudan 🇸🇸. Wanaboresha kingo za maji ili maisha yawe bora. UNMISS
news.un.org/sw/story/2026/…
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Tangu kusitishwa kwa mapigano Gaza, World Food Programme imeongeza msaada wake na sasa inatoa chakula 400,000 kila siku kupitia majiko ya jamii 45. Ingawa hali ya upatikanaji wa chakula imeimarika, watu wengi bado wanategemea msaada ili kuendelea kuishi.

Tangu kusitishwa kwa mapigano Gaza, World Food Programme  imeongeza msaada wake na sasa inatoa chakula 400,000 kila siku kupitia majiko ya jamii 45.

Ingawa hali ya upatikanaji wa chakula imeimarika, watu wengi bado wanategemea msaada ili kuendelea kuishi.
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Kupona kwa tabaka la ozoni kunaonyesha tunapoungana, tunaweza kushinda hata changamoto kubwa kama tabianchi. Kulinda ozoni kumesaidia kupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi na kulinda mustakabali wa wote. Zaidi na UN Environment Programme: ozone.unep.org/facts-and-figu…

Kupona kwa tabaka la ozoni kunaonyesha tunapoungana, tunaweza kushinda hata changamoto kubwa kama tabianchi.

Kulinda ozoni kumesaidia kupunguza kasi ya mabadiliko ya tabianchi na kulinda mustakabali wa wote.

Zaidi na UN Environment Programme: ozone.unep.org/facts-and-figu…
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

"Historia inatuonyesha kuwa haki za binadamu zinaposhambuliwa, hakuna aliye salama. Ukiukaji dhidi ya kundi moja hudhoofisha uhuru wa wote." - @VolkerTurk, Mkuu wa UN Human Rights alisema miaka 80 baada ya Mkataba wa UN kusainiwa, ni lazima tulinde uhuru, usawa na haki kwa wote.

"Historia inatuonyesha kuwa haki za binadamu zinaposhambuliwa, hakuna aliye salama. Ukiukaji dhidi ya kundi moja hudhoofisha uhuru wa wote."

- @VolkerTurk, Mkuu wa UN Human Rights alisema miaka 80 baada ya Mkataba wa UN kusainiwa, ni lazima tulinde uhuru, usawa na haki kwa wote.
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Nembo ya #UmojawaMataifa ni alama ya matumaini, amani na umoja duniani kote. Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 80, inabaki kama chombo cha kujitolea kuendeleza amani, heshima na usawa kwa wote katika sayari yenye afya. un.org/en/UN80 #UN80

Nembo ya #UmojawaMataifa ni alama ya matumaini, amani na umoja duniani kote.

Umoja wa Mataifa ukitimiza miaka 80, inabaki kama chombo cha kujitolea kuendeleza amani, heshima na usawa kwa wote katika sayari yenye afya. un.org/en/UN80 #UN80
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

“Nimeshuhudia mwenyewe #Sudan maumivu na mateso makubwa yaliyosababishwa na ukatili usioelezeka.” Mkuu wa UN Human Rights Volker Türk anasisitiza wahusika wawajibishwe kwa ukiukwaji wa kutisha wa haki za binadamu na kuhakikisha raia wanalindwa mara moja. ohchr.org/en/statements-…

“Nimeshuhudia mwenyewe #Sudan maumivu na mateso makubwa yaliyosababishwa na ukatili usioelezeka.”

Mkuu wa UN Human Rights Volker Türk anasisitiza wahusika wawajibishwe kwa ukiukwaji wa kutisha wa haki za binadamu na kuhakikisha raia wanalindwa mara moja. ohchr.org/en/statements-…
Umoja wa Mataifa (@umojawamataifa) 's Twitter Profile Photo

Binadamu wote huzaliwa huru na sawa katika utu na haki. Haki hizi ni za kila mtu, hazijadiliwi wala kubadilishwa. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuzilinda, kwa ajili ya kila mtu. ohchr.org/en/what-are-hu… - kupitia UN Human Rights

Binadamu wote huzaliwa huru na sawa katika utu na haki.

Haki hizi ni za kila mtu, hazijadiliwi wala kubadilishwa.

Kila mmoja wetu ana wajibu wa kuzilinda, kwa ajili ya kila mtu.

ohchr.org/en/what-are-hu…

- kupitia UN Human Rights