Tito Korduni 💧(@TitoKorduni) 's Twitter Profile Photo

Miaka 63 ya uhuru lakini maisha ya mtumishi wa umma na sekta binafsi ni dunia.
Umaskini umekuwa kama koti la muungano unaopendelea Zanzibar zaidi na Tanganyika ikizama baharini.
Kikokotoo kimekuwa sintofahamu huku wabunge wakipeta baada y miaka 5.Watumishi ni kilio na kusaga 🦷

account_circle
George E. Mwaipungu(@mwaipungu24) 's Twitter Profile Photo

🔷🔷🔷🇹🇿Hii ni tamaa, huku amebana nafasi za watu wengine kwa nafasi ya ubunge,
🔷Huku akaomba Mshahara amepewa, kikokotoo kitalipika?

🔷Tukumbuke Nchi haizalishi, Mikataba ya Miradi ya raslimali za Nchi ni Mibovu, hiyo Fedha inatoka wapi, Au mikopo?

account_circle
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸(@davitheempire) 's Twitter Profile Photo

''Tunaandamana na Maaskari kila mahala tunapokwenda sio kwamba wanahakikisha usalama wetu bali na wao WAMECHOKA ccm😂maana KIKOKOTOO kitawaangamiza na wao😂😂'';-Mhe LISSU akiwa SINGIDA

''CCM wakikumabia KATIBA hakuletei chakula nyumbani waambie KIKOTOTO ni nini? KIKOKOTOO kinahusu pesa za UMMA zilizotungungiwa sheria kwa mujibu wa KATIBA ili RAIS aamue yeye namna yakuwapa watumishi. Tatizo la nchii hii i KATIBA'';-Mhe LISSU

Moyo wa TAIFA ™️(@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Hawa ni walimu?

Suala la kudai maslahi ya watumishi ni la kila mtumishi.

Kunapokuja sheria ya hovyo kwa watumishi, waathirika sio walimu tu kila mtu.

Rejea

Hawa ni walimu?

Suala la kudai  maslahi ya watumishi ni la kila mtumishi.

Kunapokuja sheria ya hovyo kwa watumishi, waathirika sio walimu tu kila mtu.

Rejea #Kikokotoo

#TeachingIsProfession
account_circle
Maria Sarungi Tsehai(@MariaSTsehai) 's Twitter Profile Photo

“Wafanyakazi acheni kuwa ombaomba!” 😃😃
Tundu Antiphas Lissu anasema kutaka awasemee kikokotoo wafanyakazi wakati wana vyama vya wafanyakazi ni kutotambua wajibu wao

youtube.com/live/kLeRR2NGD…

“Wafanyakazi acheni kuwa ombaomba!” 😃😃 
@TunduALissu anasema kutaka awasemee kikokotoo wafanyakazi wakati wana vyama vya wafanyakazi ni kutotambua wajibu wao

youtube.com/live/kLeRR2NGD…
account_circle
Hilda Newton(@HildaNewton21) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Tundu Antiphas Lissu anasema wafanyakazi waache kuomba/kutaka awasemee kuhusu kikokotoo wakati wafanyakazi wana vyama vya wafanyakazi maana kuomba wasemewe ni kutotambua wajibu wao.

Mhe. @TunduALissu anasema wafanyakazi waache kuomba/kutaka awasemee kuhusu kikokotoo wakati wafanyakazi  wana vyama vya wafanyakazi maana kuomba wasemewe ni kutotambua wajibu wao.
account_circle
goodluck aloyce(@goodluckaloyce4) 's Twitter Profile Photo

Hivi serikali inajiuliza nini kuhusu kikokotoo si wakitoe tuu mbona kama wanaruka sarakasi tuu?? Watu wanahasira na jasho lao.

Hivi serikali inajiuliza nini kuhusu kikokotoo si wakitoe tuu mbona kama wanaruka sarakasi tuu?? Watu wanahasira na jasho lao.
account_circle