Yonah Mussa(@dds_yonah) 's Twitter Profile Photo

Tulifurahi kujumuika pamoja katika kusherehekea siku ya matendo mema duniani Good Deeds Day katika viwanja vya .
Pamoja na utoaji wa elimu na ushauri wa afya ya Kinywa na Meno pia tulijifunza kuhusu taasisi zingine zinavyojitoa katika kugusa jamii zetu kwa ujumla.

Tulifurahi kujumuika pamoja katika kusherehekea siku ya matendo mema duniani @GoodDeedsDay katika viwanja vya #DonboscoOsterbay.
Pamoja na utoaji wa elimu na ushauri wa afya ya Kinywa na Meno pia tulijifunza kuhusu taasisi zingine zinavyojitoa katika kugusa jamii zetu kwa ujumla.
account_circle
Dioff JR(@dioff_d) 's Twitter Profile Photo

Smile with me Tarehe 19.06.2021
Dr Winifred Mgaya aka Atatoa elimu ya kinywa na meno venue: . Muda ni saa kumi jioni hakuna kiingilio @dee_prnce Madenge Idris @Afyayakinywana1

Smile with me Tarehe 19.06.2021
Dr Winifred Mgaya aka #Mrtooth #Thecelebritydentist_tz  Atatoa elimu ya kinywa na meno venue: #DonBoscoOsterbay. Muda ni saa kumi jioni hakuna kiingilio @dee_prnce @rollymsouth @IdrisSultan @Afyayakinywana1
account_circle