Yonah Mussa
@dds_yonah
President of @tdsa_Tanzania |
Building @Kinywasalama |
Council member of @dental_tda |
Oral health & Gender Enthusiast|Volunteer | 📩
[email protected]
ID:975111070569332737
17-03-2018 20:46:10
974 Tweets
460 Followers
829 Following
Vijana tunatakiwa kujifunza kuhusu umuhimu wa kipindi cha maandalizi.
Kubali kukaa chini kwa ajili ya kufundishwa na watu wanaopajua unapotaka kwenda maana seat unayoitaka haipo wazi kuna watu walishakaa hapo hivyo unatakiwa kuandaliwa vilivyo.
#Nguvuyamaandalizi #Vijananafursa
Sisi kama vijana wadogo kama mwandamizi anavyotuita #kizazikipya tunafurahia na kutiwa moyo na mageuzi yanayoendelea kwenye tasnia ya Afya ya Kinywa na meno.
#Kinywasalama
ippmedia.com/the-guardian/n…
Yes!Bit by bit Oral Health in Tanzania is being transformed. Congratulations to everyone behind this,I understand it has been a lot of back and forth but finally here we are today
East Africa Centre of Excellence for #Oral and #DentalHealth is a big thing for us.
Kudos Dr Baraka J Nzobo
Tulifurahi kujumuika pamoja katika kusherehekea siku ya matendo mema duniani Good Deeds Day katika viwanja vya #DonboscoOsterbay .
Pamoja na utoaji wa elimu na ushauri wa afya ya Kinywa na Meno pia tulijifunza kuhusu taasisi zingine zinavyojitoa katika kugusa jamii zetu kwa ujumla.
Dear youths,
Create value and a tribe will emerge.If you keep going about trying to connect with every big shot,you may just end up looking like an opportunist.
You might be invited because they know you,but trust me your value will determine your re-invitation.
Cc Kuduishe Kisowile
Let's spread kindness and make a positive impact together...
#GoodDeedsDay
#kinywasalama
Always very pleased and proud to come across phenomenal women health leaders. BELOW here with our very own Tanzania Minister for Health Ummy Mwalimu, MP , Dr.
Grace Maghembe - Deputy PS of Health, Prof.Tumaini Nagu- Chief Medical Officer, Sabra CEO from Mwanamke Initiatives Foundation Maryam Amour…
Tune in live TODAY at 11:30 a.m. to listen to CareQuest Institute President and CEO Myechia Minter-Jordan, MD, MBA, and Rep. Alma S. Adams, Ph.D., PhD (NC-12), discuss the intersection of #oralhealth and Black maternal health. Register: ow.ly/4qn250R1sGP