Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

#BajetiAfya2024 imetenga bilion 9.32 ▪︎ Kuimarisha huduma za Afya ya Akili ▪︎Huduma utengemano na shufaa Lengo ni kuhakikisha raia wanaishi salama na kujikita kwenye shughuli za uchumi #MamaYukoKazini

#BajetiAfya2024 imetenga bilion 9.32
▪︎ Kuimarisha huduma za Afya ya Akili
▪︎Huduma utengemano na shufaa

Lengo ni kuhakikisha raia wanaishi salama na kujikita kwenye shughuli za uchumi #MamaYukoKazini
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mafanikio wizara ya afya Vifaa tiba vimezidi kuongezewa bajeti ili kuendana na ongozeko la watu na mahitaji #BajetiAfya2024 #MamaYukoKazini

Mafanikio wizara ya afya 

Vifaa tiba vimezidi kuongezewa bajeti ili kuendana na ongozeko la watu na mahitaji #BajetiAfya2024 #MamaYukoKazini
Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Katika kuhakikisha huduma bora za afya zinaimarika serikali imeongeza bajeti ya vifaa tiba ambavyo vimehudumia wagonjwa katika mazingira mazuri #MamaYukoKazini #BajetiAfya2024

Katika kuhakikisha huduma bora za afya zinaimarika serikali imeongeza bajeti ya vifaa tiba ambavyo vimehudumia wagonjwa katika mazingira mazuri #MamaYukoKazini #BajetiAfya2024
Dr. Norman Jonas (@normanjonasmd) 's Twitter Profile Photo

Bajeti ya Afya 2024 - 2025 ✅ MOI kuanzisha huduma ya kutumia roboti kwa ajili ya upasuaji. Robotic Surgery inaenda kuwa reality 🔥 #BajetiAfya2024

Bajeti ya Afya 2024 - 2025

✅ MOI kuanzisha huduma ya kutumia roboti kwa ajili ya upasuaji.

Robotic Surgery inaenda kuwa reality 

🔥 #BajetiAfya2024
Sikika (@sikika1) 's Twitter Profile Photo

Uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Dodoma leo saa 3 Asubuhi. Afya Bora kwa wote! #MtuNiAfya #BajetiAfya2024

Uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Afya kwa Mwaka wa fedha 2024/25 Bungeni Dodoma leo saa 3 Asubuhi.
 
Afya Bora kwa wote! 
#MtuNiAfya
#BajetiAfya2024