Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile
Moyo wa TAIFA ™️

@bajabiri

BA,MA UDSM|Founder Bajabir Logistics |Marketing Manager JustFit Sports Gear |StreetSoul Clothing Stores

ID: 861700170

calendar_today04-10-2012 16:55:59

712,712K Tweet

423,423K Takipçi

41,41K Takip Edilen

DevotaTweve (@twevedevota) 's Twitter Profile Photo

Elimu na siasa vina mchango mkubwa sana katika maendeleo yetu ni muhimu mifumo yetu ya elimu na siasa ikawa imara. Fuatilia episode ya 6 ya SiasaZetu bofya link hii youtu.be/vouiELGjnbU?si… #SiasaZetu

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA ™️ Kwenye taaluma za maendeleo kuna ile dhana na social stratification. Matabaka ndani ya jamii. Kwenye Baiolojia kuna survival of the fittest. Kwenye Fizikia kuna nguvu ya kimakanika

Lwimo (@seleman91124854) 's Twitter Profile Photo

Macho ya kipofu yakipata Nuru, akaona mwanga, kitu Cha kwanza atakachofanya ni kuitupa fimbo iliyokua inamsaidia njia, viongozi wetu nadhani Sio tuu kupenda kuwajibika hata uwezo wao unatia mashaka, Kuna vitu vinafikirisha mnoo

CHIKU (@chausikur) 's Twitter Profile Photo

I really love the " I know you can do it " typa people, I pray that to be that kinda person to those in need of these people in their lives. 🤲

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Moyo wa TAIFA ™️ Kuelekea uchaguzi huwa kuna matukio fulani hivi hatuyaelewi. Road to 2025. Ndio maana wengine Siasa zetu wanaamua kuachana nazo; wengine hata kupiga kura kunawakatisha tamaa

Martin Maranja Masese (@iamartin_) 's Twitter Profile Photo

Kila hatua DUA. 🙏🏾 Leo mwanetu Boniface Jacob amerudisha fomu yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani. Huo ni umma wakiwepo wajumbe/wapiga kura waliamua kumsindikiza kurejesha fomu hiyo katika ofisi za CHADEMA Kanda ya Pwani. #TunarejeaKwaKishindo.

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

Tumejipanga kiasi gani kuleta mapinduzi makubwa kwenye Elimu yetu? Suluhisho ni uwekezaji tu kwa maana ya rasimali watu. Wataalamu wapo, na wengine wanaendelezeka

Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿 (@k_mjege) 's Twitter Profile Photo

SDG 16: Ili tupige hatua kama jamii ni lazima tuwekeze kwenye kuunda Taasisi imara—ukiwemo utawala wa sheria usioyumba yumba. Hata msimu akija Rais “kichaaa” tuwe na amani kuongozwa naye—kwa kuwa atadhibitiwa na Taasisi hizo. Katiba ni njia moja tu ya kufikia huko. Nyingine ni

SDG 16: Ili tupige hatua kama jamii ni lazima tuwekeze kwenye kuunda Taasisi imara—ukiwemo utawala wa sheria usioyumba yumba. Hata msimu akija Rais “kichaaa” tuwe na amani kuongozwa naye—kwa kuwa atadhibitiwa na Taasisi hizo. Katiba ni njia moja tu ya kufikia huko. Nyingine ni
Mmassy Jr (II) (@lellommassy) 's Twitter Profile Photo

Mike Mushi Kuwe na vikao binafsi visiwe vya kuitana kimkupuo na kungojeana milangoni mmoja atoke ili ww uingie🤣🤣.Hiyo ni hatua ya kwanza. Lakini I hate the whole idea of being summoned day in day out. Hii ni stratejia ya kisaikoloji pia

Moyo wa TAIFA ™️ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Wanaoharibu elimu ni wanasiasa. Huwezi tenganisha siasa na elimu ya nchi hii. #SoasaZetu ndo zilileta mitaala mibovu na Sera mbovu hadi tukaja na mambo ya Divison 5