Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Timu ya Foundation for Civil Society imetembelea wadau wanaotekeleza mradi wa #UraiaWetu NGONEDO-Dodoma, MTWANGONET-Mtwara, na PACSO-Pemba kama sehemu ya #ZiaraYaUfuatiliaji inayolenga kutathmini matokeo ya miradi na kujenga uwezo wa mdau wetu. #AzakiNaJamii

Timu ya <a href="/FCSTZ/">Foundation for Civil Society</a>  imetembelea wadau wanaotekeleza mradi wa #UraiaWetu  NGONEDO-Dodoma, MTWANGONET-Mtwara, na PACSO-Pemba kama sehemu ya #ZiaraYaUfuatiliaji inayolenga kutathmini matokeo ya miradi na kujenga uwezo wa mdau wetu. #AzakiNaJamii
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

How do we realistically achieve a state where Freedom of Expression is respected in such a hierarchical culture? Justice Rutenge reflects at the Freedom of Expression Annual Forum. #Partnerships4Development #AzakiNaJamii

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Justice Rutenge Our Executive Director, delivered inspiring closing remarks at the Freedom of Expression Annual Reflection Forum organised by MISA TANZANIA on 1st June 2024 #PartnershipsForDevelopment #AzakiTanzania #AzakiNaJamii

<a href="/justicerutenge/">Justice Rutenge</a> Our Executive Director, delivered inspiring closing remarks at the Freedom of Expression Annual Reflection Forum organised by <a href="/MISATANZANIA/">MISA TANZANIA</a> on 1st June 2024 
#PartnershipsForDevelopment #AzakiTanzania #AzakiNaJamii
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Uchaguzi NaCoNGO Ngazi ya Mkoa, Taarifa rasmi itatolewa kesho tarehe 1, Juni 2024 kwenye mkutano na Waandishi wa habari. #AzakiNaJamii

Uchaguzi NaCoNGO Ngazi ya Mkoa, Taarifa rasmi itatolewa kesho tarehe 1, Juni 2024 kwenye mkutano na Waandishi wa habari.
#AzakiNaJamii
Haule Daniel (@hauledaniel1) 's Twitter Profile Photo

Excited to share insights from my recent interview with Prudence Zoe Glorious Public Relations Firm where I discussed the Foundation for Civil Society youth skills development program! This impactful initiative has been key in fostering youth leadership skills and personal growth in Tanzania. #AzakiNaJamii #DevelopmentAsPeople

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Our 2022-2026 strategic Key Intervention Programme is Sustainable Livelihood targeting communitiesโ€™ resilience to climate change & management of natural resources. FCS believes that there is need to strengthen the linkage between livelihoods & governance. #AzakiNaJamii #CBA18

Our 2022-2026 strategic Key Intervention Programme is Sustainable Livelihood targeting communitiesโ€™ resilience to climate change &amp; management of natural resources. FCS believes that there is need to strengthen the linkage between livelihoods &amp;  governance.
#AzakiNaJamii #CBA18
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Asante na kwaheri @kiwangafrancis. ๐ŸŒฑ๐Ÿ’ช๐Ÿพ๐Ÿ‘‹๐Ÿพโœจ Leadership unfolds not solely in achievements but in the lives touched and the vision shared. Sound on for a snippet on people-led development - a FCS ethos. ๐Ÿ’ก๐Ÿ’ก #AzakiNaJamii #DevelopmentAsPeople

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

The FCS youth skills development program has catalyzed the growth of leadership skills among Tanzanian youth who make up 70% of its populace. Happy Friday. #AzakiNaJamii #DevelopmentAsPeople

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

โ€œItโ€™s all aboutโ€ฆensuring everyone is empowered to excel.โ€ -Daniel Haule #AzakiNaJamii #DevelopmentAsPeople

Haule Daniel (@hauledaniel1) 's Twitter Profile Photo

Internships aren't just about gaining experience; they're about seizing opportunities. Were you once an intern/volunteer? How has/was your internship experience shaped your career path? #AzakiNaJamii #DevelopmentAsPeople

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

"Mkurugenzi Mtendaji wa FCS aliyemaliza muda wake, Francis Kiwanga, alisema maoni hayo yametokana na wadau kutoka taasisi mbalimbali Tanzania bara na visiwani, akiwemo Wana Azakiโ€ #UraiaWetu #AzakiNaJamii

"Mkurugenzi Mtendaji wa FCS aliyemaliza muda wake, Francis Kiwanga, alisema maoni hayo yametokana na wadau kutoka taasisi mbalimbali Tanzania bara na visiwani, akiwemo Wana Azakiโ€
#UraiaWetu
#AzakiNaJamii
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

"Tarajio la saba ni kuhakikisha ulinzi, usimamizi, na uendelezaji endelevu wa rasilimali, huku tukizingatia kipaumbele cha matumizi na usimamizi endelevu wa rasilimali za nchi." Lulu Urio #UraiaWetu #AzakiNaJamii

"Tarajio la saba ni kuhakikisha ulinzi, usimamizi, na uendelezaji endelevu wa rasilimali, huku tukizingatia kipaumbele cha matumizi na usimamizi endelevu wa rasilimali za nchi."
Lulu Urio
#UraiaWetu
#AzakiNaJamii
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

"Tarajio la nne ni kujenga jamii iliyoelimika na inayoshindana kwa viwango vya kikanda na kimataifa, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni kutoa huduma bora, endelevu, na jumuishi za elimu." Lulu Urio #UraiaWetu #AzakiNaJamii

"Tarajio la nne ni kujenga jamii iliyoelimika na inayoshindana kwa viwango vya kikanda na kimataifa, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni kutoa huduma bora, endelevu, na jumuishi za elimu."
Lulu Urio
#UraiaWetu
#AzakiNaJamii
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

"Tarajio la kwanza ni kuboresha maisha na ustawi wa Watanzania, likijumuisha vipaumbele vya uhakika wa chakula, huduma bora za afya, nishati bora na rafiki kwa mazingira, huduma za maji, makazi bora, na miji endelevu." Lulu Urio #UraiaWetu #AzakiNaJamii

"Tarajio la kwanza ni kuboresha maisha na ustawi wa Watanzania, likijumuisha vipaumbele vya uhakika wa chakula, huduma bora za afya, nishati bora na rafiki kwa mazingira, huduma za maji, makazi bora, na miji endelevu."
Lulu Urio
#UraiaWetu
#AzakiNaJamii