MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profileg
MISA TANZANIA

@MISATANZANIA

Official Account: MISA Tanzania
Contact; Mob +255 752 430 557.Tanzania
MISA Tanzania advocate: freedom of expression, press & access to information

ID:511644982

linkhttp://www.tanzania.misa.org calendar_today02-03-2012 09:17:25

1,4K Tweets

2,3K Followers

504 Following

MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

Kama wadau muhimu MISA TAN imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri.

Kama wadau muhimu MISA TAN imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya #SikuYaUhuruWaVyomboVyaHabari Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri. #WPFD2024
account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

MISA TAN imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri.

MISA TAN imeshiriki kikamilifu katika ufunguzi wa Maadhimisho ya #SikuYaUhuruWaVyomboVyaHabari Duniani 2024 uliohusisha mbio za kilomita 10 zilizofunguliwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Jabir Shekimweri. #WPFD2024
account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Je, uandishi wa habari na uhuru wa vyombo vya habari una mchango gani katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ambazo zinaikumba dunia kwasasa? Ungana nasi 1-3 Mei Jijini Dodoma!

Kuelekea Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Je, uandishi wa habari na uhuru wa vyombo vya habari una mchango gani katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi ambazo zinaikumba dunia kwasasa? Ungana nasi 1-3 Mei Jijini Dodoma! #WPFD2024
account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

MISA TAN Ikiwakilishwa na Mkurugenzi Bi Elizabeth Riziki, inaungana na Watanzania wote na hasa tasnia ya habari, clouds FM katika kuomboleza kufiwa na nguli wa habari Gadner G Habash. Apumzike kwa Amani cloudsfm.

account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

Did you know..............?
@vikes.fi @finlandintanzania @imsforfreemedia@wizarahmth@tcra_tanzania@Foundation for Civil Society.

Did you know..............? @vikes.fi @finlandintanzania @imsforfreemedia@wizarahmth@tcra_tanzania@Foundation for Civil Society.
account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari mwaka huu Mei 3 jijini Dodoma atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa , Mhe. Kassim Majaliwa.

Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari mwaka huu Mei 3 jijini Dodoma atakuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa #Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa.
account_circle
MISA TANZANIA(@MISATANZANIA) 's Twitter Profile Photo

Participants Participating during session under MISA TAN and PIA on Planning of Comprehensive Security training for journalist Facilitated by Embassy Of Finland Tanzania.
@finlandintanzania Wizara ya Habari,Mawasiliano naTeknolojia yaHabari @vikes.fi @piafrica_hub

Participants Participating during session under MISA TAN and PIA on Planning of Comprehensive Security training for journalist Facilitated by Embassy Of Finland Tanzania. @finlandintanzania @wizarahmth @vikes.fi @piafrica_hub
account_circle