Comrade Mbosa (@stevenmbosa) 's Twitter Profile
Comrade Mbosa

@stevenmbosa

Former secretary for mobilization and pioneers CCM youth league-UDSM|Muuza mchele wa Mbeya| Marketing Manager |@udsmalumni |Editor|Writter|Translator|B.A.K|IKS|

ID: 1206847656150085633

calendar_today17-12-2019 08:05:25

4,4K Tweet

633 Takipçi

1,1K Takip Edilen

Zitto MwamiRuyagwa Kabwe (@zittokabwe) 's Twitter Profile Photo

“Kwanza wanakudharau, kisha wanakucheka, kisha wanapambana na wewe, kisha unashinda". - Mahatma Gandhi Siasa za kishenzi hizi. Hazipaswi kupewa nafasi katika demokrasia yeyote.

Dear God (@most_highgod) 's Twitter Profile Photo

As a man, be ready pay the price of loneliness, pain, failure, rejection, loss, disrespect and setbacks to win in life. No shortcut.

Christian Bwaya (@bwaya) 's Twitter Profile Photo

Unachokifundisha kinaweza kusisimua lakini kisimbadilishe mtu. Unachokiishi kina nguvu ya kumbadilisha mtu hata usipokizungumzia.

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

"Kaka we Anza kazi tu, ntakulipa tu usijali!!" Huko nilikwishaondoka mwenzenu! Usiwape watu URAHISI wa kuzoea kazi zako! Kadri unavyoweka POLICY nzuri za malipo ya huduma zako, ndivyo ambavyo unapata Wateja wenye QUALITY na wasio wababaifu. TENGENEZA SERA ZA OFISI YAKO!!

Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Mimi nimekusanueni tu madogo. Wale wajanja wenye akili zenu fanyieni kazi ushauri wangu kimya kimya. Mtanishukuru baadaye. Wale wapumbavu endeleeni kushupaza shingo. Kumbuka tu kuwa raha ya ukweli usemwe! Unipende, unichukie, fresh tu. Sihitaji kupendwa na wewe, mke wangu

StrongManGuide (@strongmanguide) 's Twitter Profile Photo

ListenSon The more you will talk, The more people will know about you… Rather than telling all your plans to them, Keep it secret… Because if people don't know about anything, They won't be able to ruin your success…

LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Kuna kitu ambacho binafsi kilikuwa kikinisumbua hasa katika swala ya kuunda jina la kampuni. Nilikuwa sijui tofauti ya hizi company titles mf; Traders, Investment, Enterprise n.k Nilipojifunza, Nikagundua sio mimi tu nilikuwa sijui, ni wengi hawajui. Shuka na huu uzi jifunze

SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Hakuna lisilowezekana, lakini lipo usiloweza. Kuliko kupoteza muda kwa usiloliweza, hamishia nguvu zako kwanza kwa lile unaloliweza." ~Togolani Mavura.

"Hakuna lisilowezekana, lakini lipo usiloweza. Kuliko kupoteza muda kwa usiloliweza, hamishia nguvu zako kwanza kwa lile unaloliweza." ~Togolani Mavura.
(---) Onesmo Mushi (@edutalktz) 's Twitter Profile Photo

Huyu Mzee huwa sichoki kumsikiliza, inaonekana ni fundi sana wa historia yetu; haswa ile inayofichwafichwa. Halafu hatumii nguvu!!

𝔾𝕒𝕓𝕣𝕚𝕖𝕝 𝕊𝕚𝕞𝕠𝕟 𝕄𝕠𝕝𝕝𝕖𝕝 (Ⓖ︎Ⓘ︎Ⓕ︎Ⓣ︎) (@mollelgg) 's Twitter Profile Photo

Kuna wakati tatizo siyo shida nyingi ulizonazo. Ukijifanyia tathmini ya kweli utagundua kuwa wewe huna shida hizo. Kinachokuletea Shida ulizonazo ni life style yako unayoishi nje ya riziki yako Mungu aliyokupangia. Utaachaje kuteseka sasa?

Fred Kavishe (@fredkavishe) 's Twitter Profile Photo

CRDB Bank wakishirikiana na Tarura wamekuletea hati fungani za miundombinu. Kuanzia 500,000 kwa miaka mitano riba 12% Tuseme ukiweka 100,000,000 Kila mwaka utapata gawio la 12 M Miaka mitano 60 M Bado una 100 m ipo Wekeza kupitia SimBanking ama tawini. #SwahibaLanguLako

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Wanangu mnaouza digital products sijui Bundles, subscriptions, COURSES, ebooks, Tutorials etc nimewaekea kaSimple Trick ya kuDesign hizi 3D kwa kutumia canva dk10 nyingi umeua. 🔗youtu.be/DslWXN7oSns?si…

Wanangu mnaouza digital products sijui Bundles, subscriptions, COURSES, ebooks, Tutorials etc

nimewaekea kaSimple Trick ya kuDesign hizi 3D kwa kutumia canva dk10 nyingi umeua.

🔗youtu.be/DslWXN7oSns?si…
SikilizaTogolani (@sikilizatogolan) 's Twitter Profile Photo

"Kila siku unao uhakika wa uwezekano wa kukutana na sura mpya kabisa ambayo hujawahi kuiona katika uhai wako. Huna sababu ya kung'ang'ana na yule ambaye haoni thamani na umuhimu wako. Unayo fursa ya kukutana na wengi mbeleni wenye mema nawe. Wanaokuthamini wanakusubiri mbeleni."

"Kila siku unao uhakika wa uwezekano wa kukutana na sura mpya kabisa ambayo hujawahi kuiona katika uhai wako. Huna sababu ya kung'ang'ana na yule ambaye haoni thamani na umuhimu wako. Unayo fursa ya kukutana na wengi mbeleni wenye mema nawe. Wanaokuthamini wanakusubiri mbeleni."
Dr. Hamisi Kigwangalla (@hkigwangalla) 's Twitter Profile Photo

Leo nataka kuzungumza na boys; wadogo zangu wapiganaji kabisa: 1.) Maisha siyo rahisi sana. Mafanikio siyo rahisi kabisa. Yatakujaribu. Yatakukatisha tamaa. Usikubali. Komaa, pambana! Kukata tamaa ni dhambi. Kurudi nyuma ni mkakati kabisa vitani. Wewe siyo mwepesi kiasi