Stephen Julius masele (@stephen_masele) 's Twitter Profile
Stephen Julius masele

@stephen_masele

Stephan Masele is a Tanzanian entrepreneur, Politician and former 1st Vice President of the Pan African Parliament. Also served as Deputy Minister.

ID: 2562572607

calendar_today24-05-2014 21:49:58

313 Tweet

12,12K Followers

373 Following

Stephen Julius masele (@stephen_masele) 's Twitter Profile Photo

🔮🟱 *UJUMBE MZITO WA MHE. STEPHEN MASELE AKISHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA* đŸ‘‡đŸ»đŸ‘‰đŸœmalunde.com/2023/10/Masele
Asante Nyirenda kwa kunitakia kheri siku yangu ya kuzaliwa. Mwenyezi Mungu awape baraka tele.

Stephen Julius masele (@stephen_masele) 's Twitter Profile Photo

I urge African states to protest by closing Israel’s diplomatic missions/embassies in Africa in order to show support and solidarity to Palestinians. Africa should condemn the killings of innocent civilians in Palestine Gaza.African Union Political Affairs Peace and Security Moussa Faki Mahamat Samia Suluhu Cyril Ramaphosa 🇿🇩

Stephen Julius masele (@stephen_masele) 's Twitter Profile Photo

Nchi za Afrika zisitishe uhusiano wa kidiplomasia na Israel kushinikiza Israel isitishe mashambulizi ya kivita na mauaji ya raia wasio na hatia wa Palestina. Afrika lazima ioneshe mshikamano na watu wote wapenda amani duniani.Samia Suluhu Paul Kagame Cyril Ramaphosa 🇿🇩 William Samoei Ruto, PhD

Stephen Julius masele (@stephen_masele) 's Twitter Profile Photo

Congratulation Dr. Tulia Ackson for your victory, it’s actually our victory, as a Tanzanian, I am very much proud of your achievements. I watched and listened to your speech, it was really touching. I wish you good luck in your new role/capacity as the President of IPU.IPUPresident

Young African sports club can appeal to football governing body and officially report to match fixing case under article XVI sub-section 3 which says;XVI. FRAUD –ADMINISTRATIVE ERROR – MATCH FIXING.If proven Mamelodi can be eliminated in favor of Young African.

Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kufungua cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3, kuhusu utawala na upanganji wa matokeo. Kama itathibitika ukweli basi timu iliyoshinda itanyang’anywa matokeo na kupewa timu pinzani. Nashauri viongozi yanga tumieni kanuni.

Here we go! This ref didn’t even attempt to review VAR to validate his erroneous decision. He knew the review could show clear goal. Shame!

Asanteni viongozi sikivu. Itasaidia mpira.Asanteni kwa kusikiliza ushauri wa sisi mashabiki wenu. Hatuwezi kuacha tukio kama lile lipite bila kukemewa🙏.⁊Eng. Hersi Said⁩ ⁊Ali Kamwe⁩⁊Young Africans SC English⁩ ⁊Young Africans SC⁩ ⁊TFF TANZANIA⁩

Eng. Gisima Nyamo-Hanga, Nimelia machozi, a true brother and friend. A man of wisdom umetuacha. Poleni sana familia, wafanyakazi wote wa Tanesco na ndugu na marafiki wote. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani la milele. Amen

Huyu refa toka Mauritania anatakiwa akamatwe na afikishwe mahakama ya makosa dhidi ya Ubinadamu kwa kuinyonga Tanzania mara ya pili na kutunyima raha kwa kutukosesha KOMBE la shirikisho 2025.#tff #CAFChampionsLeague #caf #SimbaSC #yanga #SimbaNiMoja