stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile
stbongotv

@stbongotv

Exclusive on StarTimes Decoder
Ch: DTH (Dish)- 401 & DTT (Antena)- 161
#NowLive ….🇹🇿 🇰🇪 🇺🇬

ID: 1479003023057817604

linkhttps://youtube.com/@STBONGOTV calendar_today06-01-2022 08:13:33

550 Tweet

110 Followers

16 Following

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Rapa wa Marekani RICH HOMIE BABY! ) ameripotiwa kuwa amefariki dunia huku kwa mujibu wa chanzo ambacho hakijathibitishwa rasmi kikidai kuwa ni baada ya kuzidisha dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake Atlanta. #STBongoUPDATES #RipRichHomieQuan🙏🏾

Rapa wa Marekani RICH HOMIE BABY! ) ameripotiwa kuwa amefariki dunia huku kwa mujibu wa chanzo ambacho hakijathibitishwa  rasmi kikidai kuwa ni baada ya kuzidisha dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake Atlanta.

#STBongoUPDATES #RipRichHomieQuan🙏🏾
stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

#TrendingKitaa ya 'The Bantu' wanakuuliza Mbantu Unadhani machawa wanasaidia au wanaharibu? Tupo LIVE muda huu kwenye #TheBantu stbongotv kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161(antena) CH 401 (Dish) na YouTube Channel yetu ya #STBongoTV #STBongoUPDATES #TheBantuSTBongo

#TrendingKitaa ya 'The Bantu' wanakuuliza Mbantu Unadhani machawa wanasaidia  au wanaharibu?

Tupo LIVE muda huu kwenye #TheBantu stbongotv kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161(antena) CH 401 (Dish) na YouTube Channel yetu ya #STBongoTV

#STBongoUPDATES #TheBantuSTBongo
stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Majibu ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Gwamaka Mwakalinga kuhusu namna walivyojipanga kuufunga mwaka 2024. #TheSpirit ipo hewani muda huu kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Ni wimbo gani huwa unakukosha sana kutoka kwa @ObbyAlpha88543 ? Msikilize akiimba wimbo wa 'Niokoe' alipokuwa kwenye #TheSpirit ya stbongotv.

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

"Mara nyingi mimi nikiimba nyimbo nimekuwa nikiimba nyimbo kutokana na namna Mungu ananipitisha kwenye maisha yangu" Obby Alpha #TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish).

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Obby Alpha anaeeleza safari yake ya kwanza kwenda kufanya event baada ya wimbo wake wa 'Bora Kushukuru' kutoka na kufanya vizuri. #TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish).

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Mwimbaji wa Gospel @obbyalpha akieleza kihusu moja ya changamoto aliyowahi kupitia baada ya kujilazimisha kuhudhuria mwaliko ambao wakati akiimba alikuwa akirushiwa chupa za pombe kutoka kwa wageni waliokuwa wamehudhuria. #TheSpiritSTBongo #NyumbaniKwanza

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Tuambie wewe huwa unasherehekea vipi Siku za Sikukuu? Tupo LIVE muda huu kwenye #TheBantu stbongotv kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161(antena) CH 401 (Dish) na YouTube Channel yetu ya #STBongoTV with kiddootz na @mc_petit_ #STBongoUPDATES #TheBantuSTBongo

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo Septemba 17 2024. Cc; Samia Suluhu ikulu_Tanzania #STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza

Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo Septemba 17 2024.

Cc; Samia Suluhu ikulu_Tanzania

#STBongoUPDATES #NyumbaniKwanza
stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Tanzania likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania Dkt Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi- Kilimanjaro leo Septemba, 2024.

Rais wa Tanzania Dkt Samia akisaini kitabu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) kwa ajili ya kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo Moshi Mkoani Kilimanjaro 17/9/2024.

Usikose kutazama #TheSpirit Jumapili saa 3:00 asubuhi kupitia stbongotv ndani ya kisimbuzi cha StarTimes Tanzania pekee CH 161 kwa Antenna na CH 401 kwa wenye DISH na Caloriny Francis mpaka saa 5 kamili asubuhi. #TheSpiritSTBongo

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Mr Right anadai endapo atakubaliwa na mrembo yupo tayari kumpa card ya benki. Usikose kutazama  #HelloMrRightShow6 Jumamosi hii saa 4:00 usiku stbongotv kupitia StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish). #HelloMrRightShow6 #Usionesoo!!

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Safari hii ni Mapozi tu warembo kwa @mrbluebyser1988 kwenye stage ya Mr Righ #HelloMrRightShow6 ni jumamosi hii na kila jumamosi saa 4:00 usiku hapa stbongotv kupitia StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish).

stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Jumapili hii #TheSpirit imepata baraka kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bedaandrew ambaye kuna mengi ameyazungumza ambayo hupaswi kuyakosa. #TheSpirit ni jumapili saa 3:00 asubuhi ndani ya #STBongoTV kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish) m

Jumapili hii #TheSpirit imepata baraka kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za Injili Bedaandrew ambaye kuna mengi ameyazungumza ambayo hupaswi kuyakosa.

#TheSpirit ni jumapili saa 3:00 asubuhi ndani ya #STBongoTV kupitia kisimbuzi cha StarTimes Tanzania CH 161 (antena) CH 401 (Dish) m
stbongotv (@stbongotv) 's Twitter Profile Photo

Kwenye #HolyDay ndani ya #TheSpirit Jumapili hii tutakuwa na Mtumishi wa Mungu @fredkimiti ambaye atakupa somo kuhusu Kanuni 5 zitakazopelekea uweze kupokea Baraka na Mafanikio kutoka kwa Mungu.