sbaso23 (@soulpeacebaso) 's Twitter Profile
sbaso23

@soulpeacebaso

MUOGA ANAJALI.

ID: 1704957933933535232

calendar_today21-09-2023 20:37:31

175 Tweet

74 Followers

108 Following

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

MBINU ZA UHAKIKA ZINAZOFANYA KAZI: Ukichoka, lala Ukiwa na hasira, fanya mazoezi Ukiwa una sitasita, chukua hatua Ukiwa huna morali, oga maji ya baridi Ukiwa na wasiwasi, vuta pumzi kubwa Ukiwa na huzuni, kumbuka ushindi wa nyuma Repost.

Azizi Kasese (@azizikasese) 's Twitter Profile Photo

Ukipata nafasi ya kujiombea, omba Mungu akupe jicho la kujitathimini mwenyewe. Ujue kuhusu ubinafsi wako, unafiki wako na hata chuki zako. Kabla hujawanyooshea vidole wengine, jitafakari pekeako.

Mfalme👑🇹🇿 (@mfalmewax1) 's Twitter Profile Photo

*MADHARA YA PUNYETO KWENYE UUME/DHAKARI PEKEE* 1. Kusinyaa na kuwa mdogo. Mishipa ya damu inathirika kiasi cha damu kutokufika kwa wingi kwenye uume na kupelekea maumbile kusinyaa, damu inabeba virutubisho vyote muhimu, sasa kama mzunguko ni hafifu lazima eneo hilo litadhoofika

Mwl Wa Wataalam (@millambo_) 's Twitter Profile Photo

SIKIA, Usishangazwe na maamuzi ya wanasiasa. Binadamu ndivyo walivyo. Linapokuja suala la kukwepa umasikini kila mtu anajiona kama yupo peke yake duniani. Somo: Kama kuna mchongo unahisi utakutoa na huna baya lolote, WEKA MIGUU YOTE. ZAMA.