@solloo
@soloo2023_
Thinker and mind blowing person on finacial and public development
ID: 1632627229774561282
06-03-2023 06:20:49
6,6K Tweet
318 Followers
966 Following
Wanangu nimerejea online na baada ya kutoka njee kumbe usiku umeingia. Nani hajawahi Unda $1 tu online lakini ana bundle na smartphone? Na amekuwa aki struggle sana na hajafanikiwa? Nitakusaidia for free kuunda mpaka $300 online Bure. Vigezo ni rahisi; • Follow P'site Shio
The Kenyan Vigilante Those are the hard-earned funds of ordinary, struggling citizens—people living in poverty. When it comes to constitutional reforms, as a citizen, I demand that the new constitution specifies the number of vehicles leaders are allowed to use. This is nothing short of economic
Crown Media Shda ni huyo bwege anayemsindikiza! Naamini mnajiharibia. Mnafanya watu wenye utimamu wasiwafuatilie wakati kwa sasa mnonekana kuwa na maudhui yenye hadhi flani ukilinganisha na vyombo vingine vya kimchongo. Huyu chawa anafanya spinning za kijinga mno too much!
Hivi bunge lilipitiaha na hii! Bunge la Tanzania kweli mmedharau wananchi
CCM wamejenga kijiwe chao mbele ya ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Bujimile, Kata ya Nyamhongolo hapa Ilemela. Nimewaelekeza viongozi wa ACTWazalendo wa Kata hii waanze kujenga ngome ya ACT Wazalendo pembeni ya kijiwe hicho cha Chama Cha Mapinduzi kwani Ofisi ya Mtaa ni RAIA WOTE.
Msemaji Mkuu wa Serikali Huo umeme unaosafiri kutoka Ethiopia unatumia WIFI kusafiri? Kwa maana Ethiopia ni mbali kucompare na umbali wa kutoka Bwawa la nyerere hadi moshi.