Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile
Official Soateco

@soateco_

Students Organization Of Arusha Technical College.
Under Ministry of Information 2021/2022.
Follow our Instagram Account @officialsoateco

ID: 1468574865758502912

calendar_today08-12-2021 13:35:32

373 Tweet

122 Followers

24 Following

Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

💥 STATEMENT WIN! 💥 ATC sends a strong message with a 5-0 victory over IAA! Clinical finishing. Solid defense. Total control. ⚽🔥 Proud of the boys for an outstanding performance! #ATCvsIAA #HalotelCup #ChampionsMindset

💥 STATEMENT WIN! 💥

ATC sends a strong message with a 5-0 victory over IAA!

Clinical finishing. Solid defense. Total control. ⚽🔥
Proud of the boys for an outstanding performance!

#ATCvsIAA #HalotelCup #ChampionsMindset
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

🏆🥇SHIMIVUTA 2025/26🏆🥇 Mhe. Rais wa Serikali ya Wanafunzi, ndg. Tryforn, pamoja na viongozi na wachezaji wetu, tumekabidhiwa rasmi kwa Mkuu wa Chuo, Prof. Musa Chacha, jumla ya Makombe 06 na Medali 08 tulizozipata kwenye mashindano ya SHIMIVUTA yaliyofanyika Tabora.

🏆🥇SHIMIVUTA 2025/26🏆🥇

Mhe. Rais wa Serikali ya Wanafunzi, ndg. Tryforn, pamoja na viongozi na wachezaji wetu, tumekabidhiwa rasmi kwa Mkuu wa Chuo, Prof. Musa Chacha, jumla ya Makombe 06 na Medali 08 tulizozipata kwenye mashindano ya SHIMIVUTA yaliyofanyika Tabora.

📢 TAARIFA MUHIMU 📢 Mitihani ya mwisho wa muhula inaanza 02 Machi 2026. Hakikisha umekamilisha ada na Bima ya Afya kabla ya 01 Machi 2026, vinginevyo hutafanya mtihani. #ATC #Mitihani2026

📢 TAARIFA MUHIMU 📢

Mitihani ya mwisho wa muhula inaanza 02 Machi 2026.
Hakikisha umekamilisha ada na Bima ya Afya kabla ya 01 Machi 2026, vinginevyo hutafanya mtihani.

#ATC #Mitihani2026
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

📢 TANGAZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE📢 Wanafunzi wote wanakumbushwa kuwa hairuhusiwi kufanya mtihani bila Kitambulisho cha Mwanafunzi (ID Card). ⚠️ Bila ID Card hautaruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani. Tafadhali shiriki ujumbe huu ili uwafikie wanafunzi wote. #ATC

📢 TANGAZO MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE📢

Wanafunzi wote wanakumbushwa kuwa hairuhusiwi kufanya mtihani bila Kitambulisho cha Mwanafunzi (ID Card).

⚠️ Bila ID Card hautaruhusiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani.

Tafadhali shiriki ujumbe huu ili uwafikie wanafunzi wote.

#ATC
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

KIKAO CHA PILI CHA BUNGE LA SOATECO - Tarehe 27/02/2026 Kilicho fanyika Bungeni - Room 06 ©️WizaraYaMawasilianoTechnologiaYaHabari

KIKAO CHA PILI CHA BUNGE LA SOATECO - Tarehe 27/02/2026
Kilicho fanyika Bungeni - Room 06

©️WizaraYaMawasilianoTechnologiaYaHabari

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ “Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake Yeye tutarejea.”

Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un

إِنَّا لِلَّهِ وَإِنَّا إِلَيْهِ رَاجِعُونَ

“Hakika sisi ni wa Mwenyezi Mungu, na hakika kwake Yeye tutarejea.”
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

Wishing all ATC students the very best in your Final Exams! 📚✍️ May your hard work, dedication, and preparation lead you to outstanding success. Stay focused, stay confident, and give it your best. #ATC #FinalExams #Success #StayFocused

Wishing all ATC students the very best in your Final Exams! 📚✍️

May your hard work, dedication, and preparation lead you to outstanding success. Stay focused, stay confident, and give it your best.

#ATC #FinalExams #Success #StayFocused
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya kuadhimisha nguvu, akili, na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii yetu. Serikali ya Wanafunzi (SOATECO) inawatakia wanawake wote ,Heri ya Siku ya Wanawake Duniani. ​#IWD2026 #SOATECO #ATC #WanawakeWanaweza

Leo ni siku ya kuadhimisha nguvu, akili, na mchango mkubwa wa wanawake katika jamii yetu.
 Serikali ya Wanafunzi (SOATECO) inawatakia wanawake wote ,Heri ya Siku ya Wanawake Duniani.

​#IWD2026 #SOATECO #ATC #WanawakeWanaweza
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak, dear students of Arusha Technical College! 🌙 May this special day inspire you to keep striving for excellence, gaining knowledge, and building a bright future. Wishing you joy, unity, and continued success!

Eid Mubarak, dear students of Arusha Technical College! 🌙
May this special day inspire you to keep striving for excellence, gaining knowledge, and building a bright future. Wishing you joy, unity, and continued success!
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

🎓 Students, this is YOUR trip! Escape the routine and experience the wild beauty of Tarangire National Park 🌿🐘 From networking to games, food, and unforgettable memories - we’ve got everything covered! 🗓 April 25, 2026 💸 55,000 TZS only Let’s vibe, connect

🎓 Students, this is YOUR trip!

Escape the routine and experience the wild beauty of Tarangire National Park 🌿🐘

From networking to games, food, and unforgettable memories - we’ve got everything covered!

🗓 April 25, 2026
💸 55,000 TZS only

Let’s vibe, connect
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

Heri ya Ijumaa Kuu kwa wanafunzi na jamii nzima ya ATC. Tunakutakia wakati wa amani na tafakari tunapokumbuka msingi wa imani na upendo wa Mungu kwetu sote. #IjumaaKuu #ATC #ArushaTechnicalCollege #FaithAndLove

Heri ya Ijumaa Kuu kwa wanafunzi na jamii nzima ya ATC. 
Tunakutakia wakati wa amani na tafakari tunapokumbuka msingi wa imani na upendo wa Mungu kwetu sote.
#IjumaaKuu #ATC #ArushaTechnicalCollege #FaithAndLove
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

🇹🇿 Karume Day 🇹🇿 Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tunakumbuka mchango mkubwa wa hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika ujenzi wa taifa letu. Ni siku ya kutafakari historia yetu, kuthamini uongozi thabiti, na kuendelea kujenga mustakabali bora kwa kizazi kijacho.

🇹🇿 Karume Day 🇹🇿

Tunapoadhimisha siku hii muhimu, tunakumbuka mchango mkubwa wa hayati Sheikh Abeid Amani Karume katika ujenzi wa taifa letu.

Ni siku ya kutafakari historia yetu, kuthamini uongozi thabiti, na kuendelea kujenga mustakabali bora kwa kizazi kijacho.
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

INNOVATION WEEK 2026 is officially calling for entries! We’re moving beyond the classroom to create real-world impact. If you have an idea that can change the game, we want to help you build it. 👉 Submit your idea here: forms.gle/hxLphu3fCBB7s6… *Deadline:* 19 April 2026

Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

The Future Isn’t in Your Textbooks - It’s in Your Head! 🚀 INNOVATION WEEK 2026 is officially calling for entries! We’re moving beyond the classroom to create real-world impact. If you have an idea that can change the game, we want to help you build it.

The Future Isn’t in Your Textbooks - It’s in Your Head! 🚀

INNOVATION WEEK 2026 is officially calling for entries! We’re moving beyond the classroom to create real-world impact. If you have an idea that can change the game, we want to help you build it.
Official Soateco (@soateco_) 's Twitter Profile Photo

⚽ Inter-Level Football Fixtures are HERE! 📍 Mbossoli Grounds 📅 Starting 20/04/2026 Check the poster for match times and matchups. See you there! 🙌🔥

⚽ Inter-Level Football Fixtures are HERE! 
📍 Mbossoli Grounds
📅 Starting 20/04/2026

Check the poster for match times and matchups. See you there! 🙌🔥