SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile
SisiTanzania

@sisitanzania

Ukurasa Rasmi Wa Jukwaa La Vijana SisiTanzania, Habari Zote Za Vijana Kuhusu Fursa/Elimu/Maisha/Utaifa na Maendeleo Utazipata Kupitia Ukurasa huu.

ID: 1422897645656416260

linkhttp://www.sisitanzania.org calendar_today04-08-2021 12:30:24

526 Tweet

278 Followers

155 Following

SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Kikao cha viongozi wa SisiTanzania Kigoma pamoja na viongozi wa KIMJAE Kigoma kujadili Mambo ya Ushirikiano mwema ndani ya Mkoa wa Kigoma. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Kikao cha viongozi wa SisiTanzania Kigoma pamoja na viongozi wa KIMJAE Kigoma kujadili Mambo ya Ushirikiano mwema ndani ya Mkoa wa Kigoma.
#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Viongozi na Wanachama wa SisiTanzania Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja walipokuwa wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bunge la Tanzania #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Viongozi na Wanachama wa SisiTanzania Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa katika picha ya pamoja walipokuwa wametembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
<a href="/bunge_tz/">Bunge la Tanzania</a>

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

SisiTanzania Mkoa wa Rukwa wakitoa elimu ya utambuzi kwa Vijana wenzetu wa Shule ya sekondari. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

SisiTanzania Mkoa wa Dodoma kupitia Katibu wa Wilaya Ndg. Edwine Mwombeki, imekutana na vikundi vya Vijana na kuzungumza pamoja ikiwa ni kufanya mapitio ya aina ya miradi watakayoifanyia kazi baada ya kupatiwa mikopo ya asilimia kumi. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

SisiTanzania Mkoa wa Dodoma kupitia Katibu wa Wilaya Ndg. Edwine Mwombeki, imekutana na vikundi vya Vijana na kuzungumza pamoja ikiwa ni kufanya mapitio ya aina ya miradi watakayoifanyia kazi baada ya kupatiwa mikopo ya asilimia kumi.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

SisiTanzania Mkoa wa Pwani chini ya Ndg. Saidi Malema akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti lengo la Ziara hiyo NI kutembelea eneo linalotarajiwa kuanzisha kiwanda cha mkaa mbadala (Nishati Safi ya Kupikia) #SisiTanzania

SisiTanzania Mkoa wa Pwani chini ya Ndg. Saidi Malema akiwa na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya Kibiti lengo la Ziara hiyo NI kutembelea eneo linalotarajiwa kuanzisha kiwanda cha mkaa mbadala (Nishati Safi ya Kupikia)

#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Twenzetu Mikumi National Park Kwa gharama ya 70,000 TSH. Gharama zitahusu kiingilio, Malazi, Chakula, na Usafiri wa kwenda na kurudi Kwa Mda wa Siku mbili. Tarehe 29-30 mwezi 7, 2023. #RoyalTour #SisiTanzania

Twenzetu Mikumi National Park
Kwa gharama ya 70,000 TSH. Gharama zitahusu kiingilio, Malazi, Chakula, na Usafiri wa kwenda na kurudi Kwa Mda wa Siku mbili. 
Tarehe 29-30 mwezi 7, 2023.
#RoyalTour
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Viongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Singida wamekutana kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusuvijana wa Mkoa wa Singida. Pia kikao hicho kimejadili kongamano la Vijana Mkoa wa Singida litakalofanyika 15Julai 2023 #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Viongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Singida wamekutana kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusuvijana wa Mkoa wa Singida. Pia kikao hicho kimejadili kongamano la Vijana Mkoa wa Singida litakalofanyika 15Julai 2023
#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Pwani ulitembelea kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu lengo likiwa kuwafariji na kuwapatia baadhi ya mahitaji Muhimu. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Pwani ulitembelea kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu lengo likiwa kuwafariji na kuwapatia baadhi ya mahitaji Muhimu.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa SisiTanzania Mkoa wa Iringa Ndg. Steve Nicholaus Mwangili akiongozana na wadau mbalimbali kwenye kutoa misaada Katika kituo cha kulelea watoto yatima Amani Centre. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Katibu wa SisiTanzania Mkoa wa Iringa Ndg. Steve Nicholaus Mwangili akiongozana na wadau mbalimbali kwenye kutoa misaada Katika kituo cha kulelea watoto yatima Amani Centre.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Pwani ulitembelea kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu lengo likiwa kuwafariji na kuwapatia baadhi ya mahitaji Muhimu. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Pwani ulitembelea kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu lengo likiwa kuwafariji na kuwapatia baadhi ya mahitaji Muhimu.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Tarehe 29 Julai 2023 SisiTanzania Mkoa wa Pwani imeandaa Kampeni ya Usafi, Upandaji Miti na Uchangiaji Damu itakayo fanyika Hospistali ya Tumbi Kibaha. #ChangiaDamuOkoaMaisha #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Tarehe 29 Julai 2023 SisiTanzania Mkoa wa Pwani imeandaa Kampeni ya Usafi, Upandaji Miti na Uchangiaji Damu itakayo fanyika Hospistali ya Tumbi Kibaha.

#ChangiaDamuOkoaMaisha
#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Eid Mubarak Uongozi wa Taasisi ya SisiTanzania Unapenda kuwatakia waislam wote sherehe njema ya Sikukuu ya Eid al Adha. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Eid Mubarak
Uongozi wa Taasisi ya SisiTanzania Unapenda kuwatakia waislam wote sherehe njema ya Sikukuu ya Eid al Adha. 
#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Taasisi ya SisiTanzania Mkoa wa Kigoma wamefanya mkutano wa Mkoa wakiongozwa na Mratibu wa Mkoa Ndg. Msafiri Khalidi Lupande kujadili utekelezaji wa majukumu na utekelezaji wa wa mpango kazi wa 2023/24. Mkutano huo ulifanyika Wilaya ya Kasulu. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Taasisi ya SisiTanzania Mkoa wa Kigoma wamefanya mkutano wa Mkoa wakiongozwa na Mratibu wa Mkoa Ndg. Msafiri Khalidi Lupande kujadili utekelezaji wa majukumu na utekelezaji wa wa mpango kazi wa 2023/24. Mkutano huo ulifanyika Wilaya ya Kasulu.

#KijanaOngeaNaMwenzio
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa SisiTanzania Wilaya ya Kinondoni umetembelea kituo cha watoto yatima na kutoa baadhi ya mahitaji, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango kazi wa Taasisi. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Uongozi wa SisiTanzania Wilaya ya Kinondoni umetembelea kituo cha watoto yatima na kutoa baadhi ya mahitaji, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mpango kazi wa Taasisi.

#KijanaOngeaNaMwenzio 
#SisiTanzania
SisiTanzania (@sisitanzania) 's Twitter Profile Photo

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Singida umefika Chuo cha VETA Manyoni kwaajili ya kutoa elimu Kwa Vijana ambapo mada kuu zilikuwa Kujitambua, Uzalendo, Maadili na Kutumia muda vizuri. #KijanaOngeaNaMwenzio #SisiTanzania

Uongozi wa SisiTanzania Mkoa wa Singida umefika Chuo cha VETA Manyoni kwaajili ya kutoa elimu Kwa Vijana ambapo mada kuu zilikuwa Kujitambua, Uzalendo, Maadili na Kutumia muda vizuri.

#KijanaOngeaNaMwenzio 
#SisiTanzania