Siame g.k falsafa (@siamechief) 's Twitter Profile
Siame g.k falsafa

@siamechief

Managing Director at GL Agro Co ltd,Crypto Enthusiast, Politician,next Mp at Momba province,Human right activist,
Tanzanian.

ID: 881573210814369793

calendar_today02-07-2017 18:00:07

7,7K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

MCHAMBUZI MEDIA (@mchambuzi5) 's Twitter Profile Photo

👉Huyu jamaa anaweza kuwa ndiye Katibu Mkuu wa kwanza Tanzania mwenye umri mdogo na ambaye hajawahi kuyumbishwa na sarakasi za ndani ya Chama chake. Anaamini katika chama na si katika mtu. 👉Aliondoka slaa, Mashinji yeye yupo tu, wameondoka G55 yeye yupo tu, apewe maua yake

👉Huyu jamaa anaweza kuwa ndiye Katibu Mkuu wa kwanza Tanzania mwenye umri mdogo na ambaye hajawahi kuyumbishwa na sarakasi za ndani ya Chama chake. Anaamini katika chama na si katika mtu.
👉Aliondoka slaa, Mashinji yeye yupo tu, wameondoka G55 yeye yupo tu, apewe maua yake
John Pambalu (@john_pambalu) 's Twitter Profile Photo

Dua na sala zenu. Jana nimeanza safari ya siku 30 ya matibabu ya mfupa uliovunjika kitaalamu unaitwa "Right Medial malleolar Fracture", kwa kufungwa POP. Awali madaktari walitaka kunifunga nati kama inavyoonekana kwenye picha ya tatu hapo. Lakini nikashauriana nao wakasema POP

Dua na sala zenu. Jana nimeanza safari ya siku 30 ya matibabu ya mfupa uliovunjika kitaalamu unaitwa "Right Medial malleolar Fracture", kwa kufungwa POP. Awali madaktari walitaka kunifunga nati kama inavyoonekana kwenye picha ya tatu hapo. Lakini nikashauriana nao wakasema POP
#NiYeye (@innocentjls) 's Twitter Profile Photo

Agustino Mrema alitu disappoint Lipumba nae akatu disappoint Zitto nae akatu disappoint Mbowe nae akatu disappoint Sasa tuna hakika Tundu Lissu tunaenda nae nchi ya AHADI🙏🏻

Agustino Mrema alitu disappoint
Lipumba nae akatu disappoint
Zitto nae akatu disappoint
Mbowe nae akatu disappoint

Sasa tuna hakika Tundu Lissu tunaenda nae nchi ya AHADI🙏🏻
Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

PWANI IPO SALAMA...! Leo, Mei 16, 2025, Katibu wa Kanda ya Pwani ameongoza kikao kazi maalum kilichowakutanisha Wenyeviti na Makatibu kutoka ngazi za Mikoa na Wilaya/Majimbo . Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili na kupokea taarifa za maandalizi ya wanachama

PWANI IPO SALAMA...!

Leo, Mei 16, 2025, Katibu wa Kanda ya Pwani ameongoza kikao kazi maalum kilichowakutanisha Wenyeviti na Makatibu kutoka ngazi za Mikoa na Wilaya/Majimbo .

Pamoja na mambo mengine kikao hicho kilijadili na kupokea taarifa za  maandalizi ya wanachama
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Nimesikia kauli ya Rais leo, kwa masikitiko makubwa niseme, Kuteka watu, kuua watu na kuwapa watu kesi za uongo sio mambo ya ndani ya Nchi. Dunia hii haiwezi kunyamazia uovu na matendo ya kidhalimu, Dunia haikunyamazia uovu wa makaburu kule Afrika kusini. Dunia haitanyamaza

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Niliwahi kuwa na account ya Bank fulani, lakini sikuwa naweza kuihudumia, sina cha kudeposit wala kufanya transaction yoyote ile hadi account inakuwa dormant. Nikataka kuipotezea kabisa niifunge niachane nayo. Jamaa angu akanishauri usiifunge, pambana weka hata liten iwe tu