JR SHOKA (@shokajr) 's Twitter Profile
JR SHOKA

@shokajr

Car Mechanic. ๐Ÿ”ง๐Ÿš๐Ÿš˜.
#sports @simbaSctanzania @manUTD fanโšฝ๏ธ.

ID: 2581746568

calendar_today04-06-2014 07:30:30

13,13K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Mwaka jana tarehe 25/7 2025 nilikwenda kumtembelea Mh Bwege hospitalin, Taasisi ya Mifupa Moi. Japo nimekaa na mh Bwege bungeni na kwenye kambi ya upinzani sikuwahi kuwa karibu nae kama kipindi hiki. Katika kipindi hiki kifupi nilijifunza na kumjua mh Bwege kama. 1. Mtu

Mwaka jana tarehe 25/7 2025 nilikwenda kumtembelea Mh Bwege hospitalin, Taasisi ya Mifupa Moi.

Japo nimekaa na mh Bwege bungeni na kwenye kambi ya upinzani sikuwahi kuwa karibu nae kama kipindi hiki.

Katika kipindi hiki kifupi nilijifunza na kumjua mh Bwege kama.

1. Mtu
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Rais Donald Trump amesema majeshi ya Marekani yanaweza kumaliza operesheni zake nchini Iran ndani ya wiki mbili hadi tatu, hata bila kufikiwa kwa makubaliano yoyote. Trump amesema Marekani imefikia baadhi ya malengo yake muhimu ikiwemo kudhoofisha uwezo wa Iran kuendeleza silaha

Rais Donald Trump amesema majeshi ya Marekani yanaweza kumaliza operesheni zake nchini Iran ndani ya wiki mbili hadi tatu, hata bila kufikiwa kwa makubaliano yoyote.

Trump amesema Marekani imefikia baadhi ya malengo yake muhimu ikiwemo kudhoofisha uwezo wa Iran kuendeleza silaha
Peter Msigwa (@msigwapeter) 's Twitter Profile Photo

Mwalimu wangu aliwahi kuniambia maneno haya nikiwa na umri wa kama miaka 40 hivi , sikukuelewa , sasa nimeelewa . Alikuwa anajisimulia maisha yake! Miaka 58 inaweza kupita kwa kufumba na kufumbua. Huyu ni mimi nikiwa na miaka 35โ€ฆ na huyu ni mimi sasa. Macho ni yale yale.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Ni saa kumi na nusu jioni. Tume mwitu ya Jaji Chande inayokusudia kumsafisha muuwaji Samia haijatoa taarifa yake. Iwe wamepata second thought au wanapima upepo, tunawasubiri kwa wivu mkubwa sana. Hakuna namna Samia atajiondoa katika msala wa mauwaji ya halaiki. Tunataka Haki!

Moyo wa TAIFA โ„ข๏ธ (@bajabiri) 's Twitter Profile Photo

Yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ana PhD yake, ila hata siku moja jamaa huoni akiitwa au kujiita Dr.Abbas . Tena PhD yake ameipata University of Kent sio Jangwani University ambako wengine wanagaiwa PhD ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Yule Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi ana PhD yake, ila hata siku moja jamaa huoni akiitwa au kujiita Dr.Abbas .

Tena PhD yake ameipata University of Kent sio Jangwani University ambako wengine wanagaiwa PhD ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mwanza Mudi Mabiriani (@mwanzatown) 's Twitter Profile Photo

Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee ๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ "WOTE TUPATE" Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako

Ntaanza kupost kazi za uhakika hapa zilizopo Dubai utatuma CV direct kwa mwajiri ukipata kazi mie usinipe hata Tsh mia niombee PEPO pekee ๐Ÿ‘Š๐Ÿฟ 

"WOTE TUPATE"

Cv yako hakikisha ina picha yako na elimu na experience zako usisahau Skills ni KEY sana+ email yako na Telephone no yako
Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Mboga mboga ukiongelea Ufisadi na matumizi mabaya ya madaraka, they gang against you, wanaona sio mwenzao ๐Ÿ™Œ๐Ÿผ Chama kuna laana hiki.