Joseph Shirima
@shirimajoseph3
[email protected]
student in business administraton , Chelsea fan member of CHADEMA ROMBO.Amani ni tunda la haki
ID: 1460837288024412160
17-11-2021 05:09:06
1,1K Tweet
4,4K Followers
689 Following
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026. Zimebaki siku nne tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu. #FreeLissu
Kesi ya Uhaini namba 19605/2025 inayomkabili Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu imepangwa kuendelea katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam tarehe 09 Februari 2026. Zimebaki siku tatu tu— tujitokeze kwa wingi kupata darasa la sheria kutoka kwa Mhe. Lissu. #FreeLissu
Anaandika Makam Mwenyekiti Mhe. John Heche Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na ndugu, rafiki, jamaa yake, kiongozi mwenzake au mtu