Shans Mainer. (@shansmainer) 's Twitter Profile
Shans Mainer.

@shansmainer

Mzalendo toka nazaliwa

ID: 904731470136320000

calendar_today04-09-2017 15:42:46

2,2K Tweet

504 Followers

644 Following

Shans Mainer. (@shansmainer) 's Twitter Profile Photo

Tatizo sio kwenye mchakato tatizo lenu lipo mwishoni kwenye maamuzi kila mmoja atakapotaka maslahi ya chama chake yaingie kwenye Katiba.

Shans Mainer. (@shansmainer) 's Twitter Profile Photo

Sasa akina Roma na Ney wa mitego huyu mtu si ndio wakati wenu wa kumpa makavu yake maana anatamba sana. Sio kuwaimba viongozi wetu tu ambao hawawezi kuwajibu Kwa Hip Hop.

Shans Mainer. (@shansmainer) 's Twitter Profile Photo

Haki na Batili Huwa havikai pamoja. Kama unataka kumtumikia Allah basi mtumikia moja Kwa moja bila ya unafki. Mara Kwa Allah mara Kwa Kiba mara Kwa Harmonize.

Ananilea Nkya (PhD) (@ananilean) 's Twitter Profile Photo

Nembo ya Taifa letu la Tanzania ina picha ya mwanaume na mwanamke kuashiria kwamba nchi yetu itajengwa kutokana na mchango wa wanaume na wanawake. Hiyo picha hapo chini ni viongozi walioteuliwa wiki hii kuongoza nafasi mbali mbali. Je wanawake wako wapi?