Seif Kijanga (@seifkijanga) 's Twitter Profile
Seif Kijanga

@seifkijanga

Humble

ID: 863606185483784192

calendar_today14-05-2017 04:05:34

679 Tweet

220 Takipรงi

779 Takip Edilen

Sacrinos ฮ  ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชโœŠ๐Ÿฟ (@dnahinga) 's Twitter Profile Photo

Maria - Vijana Jazz Band ๐ŸŽต๐Ÿ’• Kwa kweli sasa nimenasa, Sina ujanja, eeeeh! Upendo ooo sawa na ajali, Haina Kinga eeeeeeeeeeeeh! Aaaaah!

Maria - Vijana Jazz Band ๐ŸŽต๐Ÿ’•

Kwa kweli sasa nimenasa,
Sina ujanja, eeeeh!
Upendo ooo sawa na ajali,
Haina Kinga eeeeeeeeeeeeh!

Aaaaah!
Kuduishe Kisowile (@kudu_ze_kudu) 's Twitter Profile Photo

Mjadala uliofanyika leo katika mkutano mkuu wa MEWATA kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita round wodi ya watoto wachanga nawahimiza kina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita โ€œdokta ukimaliza njooโ€ #UZI #MEWATA2023

Mjadala uliofanyika leo katika mkutano mkuu wa MEWATA kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. 
Siku moja napita round wodi ya watoto wachanga nawahimiza kina mama kunyonyesha watoto, mama mmoja aliniita โ€œdokta ukimaliza njooโ€ #UZI #MEWATA2023
FRANCIS โ–91688โ– (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

Sina uhakika na Soko la Photography na Video Mpaka kufikia 2030 Kwanini?... Kwasababu "AI" ilipofikia sasa ni Hatari sana! Version 5 ya Midjourney, it blow my Mind!๐Ÿคฏ ...na kwa mtizamo wangu... AI tayari imeadhiri sana Kiwanda cha "Photography na VIDEO" Ona mwenyewe๐Ÿ‘‡๐Ÿพ

Sina uhakika na Soko la Photography na Video Mpaka kufikia 2030

Kwanini?...

Kwasababu "AI" ilipofikia sasa ni Hatari sana!

Version 5 ya Midjourney, 

it blow my Mind!๐Ÿคฏ

...na kwa mtizamo wangu...

AI tayari imeadhiri sana Kiwanda cha "Photography na VIDEO"

Ona mwenyewe๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo tunawashukuru wote ambao kazi zao zinalipa Taifa letu ustawi; mwalimu, daktari, nesi, seremala, fundi mwashi, dereva, dada au kaka wa nyumbani, na kila mfanyakazi popote pale alipo. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na weledi huku Serikali ikiendelea kutengeneza mazingira

Leo tunawashukuru wote ambao kazi zao zinalipa Taifa letu ustawi; mwalimu, daktari, nesi, seremala, fundi mwashi, dereva, dada au kaka wa nyumbani, na kila mfanyakazi popote pale alipo. Tuendelee kufanya kazi kwa bidii na weledi huku Serikali ikiendelea kutengeneza mazingira
๐™ถ๐™ฐ๐™ฑ๐šˆ ๐™ป๐™พ๐š…๐™ด๐š‚ ๐šƒ๐™ด๐™ฒ๐™ท 6.0 (@gabyconscious) 's Twitter Profile Photo

Vษชแด›แดœ แด สแด€ แดแดœสœษชแดแดœ แด‹แดกแด€ แด‹ษชแดŠแด€ษดแด€ แดกแด€ แด‹ษชsแด€sแด€ แด€ษดแด€แด‡แดŠษชแด›แด€า“แดœแด›แด€. 1. ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ง๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐๐š๐ฌ๐ฌ๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ โ†ณGharama zake: 150k โ†ณMahali unaipata: website ya Uhamiaji Tanzania au office za uhamiaji TZ zipo kila mkoa โ†ณMatumizi Yake: Unaweza pata kazi au mchongo

Vษชแด›แดœ แด สแด€ แดแดœสœษชแดแดœ แด‹แดกแด€ แด‹ษชแดŠแด€ษดแด€ แดกแด€ แด‹ษชsแด€sแด€ แด€ษดแด€แด‡แดŠษชแด›แด€า“แดœแด›แด€.

1. ๐ˆ๐ง๐ญ๐ž๐ซ๐ง๐š๐ญ๐ข๐จ๐ง๐š๐ฅ ๐๐š๐ฌ๐ฌ๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ

โ†ณGharama zake: 150k 

โ†ณMahali unaipata: website ya <a href="/UhamiajiTz/">Uhamiaji Tanzania</a> au office za uhamiaji TZ zipo kila mkoa

โ†ณMatumizi Yake: Unaweza pata kazi au mchongo
P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Martin Maranja Masese Nape Moses Nnauye Kenya Escorts Vitu kama โ€ข artificial intelligence โ€ข web3 technology โ€ข 5G technology โ€ข Internet of things โ€ข Augmented Reality (AR) โ€ข Virtual Reality (VR) โ€ข Quantum Computing โ€ข Biometric Authentication โ€ข Edge computing โ€ข Robotics and autonomous systems Hana habari

Dr Gudume The PDF Guy (@kamnyeso) 's Twitter Profile Photo

Idris Idris utajiri nilio nao ni ubunifu tu kaka. Nanunua viazi,namenya na kukata mwenyewe napaki kwenye vifungashio na kuuza. Ndoto ni kukuza hii brand kwa kuwa na vitendea kazi. Nipo Machava,Kigamboni mkabala na geti la jeshi,nakaribisha sapoti kwa hali na mali.

<a href="/IdrisSultan/">Idris</a> <a href="/IdrisSultan/">Idris</a> utajiri nilio nao ni ubunifu tu kaka. Nanunua viazi,namenya na kukata mwenyewe napaki kwenye vifungashio na kuuza. Ndoto ni kukuza hii brand kwa kuwa na vitendea kazi. Nipo Machava,Kigamboni mkabala na geti la jeshi,nakaribisha sapoti kwa hali na mali.
LUSAJO (@sajo_mwaihabi) 's Twitter Profile Photo

Ndugu zangu wa CONSTRUCTION field, watu wengi wako ktk ujenzi wa miradi ya nyumba zao. Na kipindi hiki watu wengi wanajenga. Sasa kutana na wateja wako hapa leo. Weka details za ofisi yako, huduma yako na mawasiliano yako ili upate wateja. Hapa nawazungumzia:- 1. Civil

Ndugu zangu wa CONSTRUCTION field, watu wengi wako ktk ujenzi wa miradi ya nyumba zao. Na kipindi hiki watu wengi wanajenga.

Sasa kutana na wateja wako hapa leo. 

Weka details za ofisi yako, huduma yako na mawasiliano yako ili upate wateja.

Hapa nawazungumzia:-

1. Civil
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Hellow ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Hellow Africa ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹...!!! Hellow Popote ulipo Duniani.๐Ÿ“บ๐Ÿ”Ž Kwanza, namshukuru Mungu Mwenyezi anayeishi mahali pake pa juu mahali palipoinuka, Uweza na Nguvu vina yeye, kabla ya misingi ya Dunia hii Alikuwepo, Yupo na ataendelea Kuwepo, Yeye ni Mwaminifu na mwenye Haki.

Hellow ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Hellow Africa ๐Ÿ‘‹๐Ÿ‘‹...!!!
Hellow Popote ulipo Duniani.๐Ÿ“บ๐Ÿ”Ž 

Kwanza, namshukuru Mungu Mwenyezi anayeishi mahali pake pa juu mahali palipoinuka, Uweza na Nguvu vina yeye, kabla ya misingi ya Dunia hii Alikuwepo, Yupo na ataendelea Kuwepo, Yeye ni Mwaminifu na mwenye Haki.
ALLY MSANGI (@ally_eh) 's Twitter Profile Photo

On July 19, 2024, cybersecurity giant CrowdStrike inadvertently caused the largest IT outage in history. A routine software update for Microsoft Windows customers contained a critical defect, resulting in widespread system failures across the globe. #TechOutage2024

On July 19, 2024, cybersecurity giant CrowdStrike inadvertently caused the largest IT outage in history. 

A routine software update for Microsoft Windows customers contained a critical defect, resulting in widespread system failures across the globe. 

#TechOutage2024
ManSimba (@kanali23) 's Twitter Profile Photo

julip20 Katika Sheria za dini ya Kiislam hairusiwi kuwaoa dada wawili pamoja. Kisheria si ruksa. Nenda katika surat Nnisai kaipitie utaona UHARAMU huo. Lakini,utaruhusiwa kumuoa dada ya mkeo au ndogo ake endapo mkeo atafariki na ukapendezwa na familia yao au kwa maslahi ya watoto

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI ๐Ÿ’จUSINUNUE SIMU HIZI 2025 Mwaka 2025 kuna simu nyingi sana sokoni โ€“ nzuri, za kawaida na mbovu kabisa. Sasa, ili usijute, hebu nikueleze aina za simu ambazo hupaswi kabisa kununua mwaka huu. Twende kazi Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡ Usisahau ๐Ÿ”„

#UZI

๐Ÿ’จUSINUNUE SIMU HIZI 2025

Mwaka 2025 kuna simu nyingi sana sokoni โ€“ nzuri, za kawaida na mbovu kabisa.
Sasa, ili usijute, hebu nikueleze aina za simu ambazo hupaswi kabisa kununua mwaka huu.
Twende kazi

Shuka ๐Ÿงต๐Ÿ‘‡

Usisahau ๐Ÿ”„