
Mtotomwema
@saudashaba6437
ID: 1830708611519049729
02-09-2024 20:46:15
5,5K Tweet
140 Takipçi
294 Takip Edilen







Asanteni kwa upendo ❤️ 400k followers Instagram 🔥 Special shoutout to you sister, Mange Kimambi umenipa turbo-boost 🚀 🤣 #NoReformsNoElection ndo habari ya mjini




Waandaaji wa kipindi cha Cafe Talk wameitaarifu CHADEMA kuwa wameahirisha kipindi na Makamu Mwenyekiti Mhe. John Heche kama ilivyopangwa awali. Makamu Mwenyekiti ilikuwa akutane uso kwa uso na Msemaji wa Serikali, Mheshimiwa Gerson Msigwa kwenye mahojiano hayo.





FYI Jakaya Kikwete Hakuna sheria mbaya kidogo na mbaya sana! Sheria mbaya ni sheria MBAYA. Full stop! Ila kama unataka viwango basi sheria za uchaguzi za Tanzania ni mbaya SANA kuliko hata ya Uganda! Yaani mfano matokeo ya kura za urais eti huwezi kuzipinga mahakamani?! Ni ya




#FreeWachokonozi #FreeWachokonozi #FreeWachokonozi Freedom of expression is guaranteed in the constitution of #Tanzania Samia Suluhu huwezi kupendwa kwa utekaji huu - in fact lazima uchukiwe kila kona! #TutaelewanaTu



