SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile
SAFARIMOJANASAMIA

@samosatz

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #kaziinaendelea

ID: 1148960651324403714

calendar_today10-07-2019 14:22:20

2,2K Tweet

890 Followers

83 Following

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

CCM: TAMISEMI IPUUZE MAKOSA MADOGO MADOGO, KUKUZA DEMOKRASIA* CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiomba Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuwaelekeza wasimamizi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kupuuza makosa madogo madogo yaliyotokea,

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

pia hata wagombea wa CCM wapo waliowekewa mapingamizi ya kugombea. β€œWaziri wa TAMISEMI tunajua anafuata sheria, lakini ni muhimu kutambua demokrasia yetu hii bado ni changa hivyo tunahitaji muda wa kuendelea kujiΓ­funza…tunaziomba mamlaka hasa TAMISEMI katika nyakati za mwisho

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

ukuaji wa demokrasia kwenye uchaguzi huo. Aidha, kuhusu sehemu kubwa ya malalamiko mengi ya kuenguliwa kuonekana ni ya wagombea wa vyama vya upinzani, Balozi Nchimbi amewatoa shaka Watanzania kuwa, si kweli kwamba wagombea walioenguliwa ni wale wa vyama vya upinzani pekee, bali

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

kuruhusu wagombea wengi kushiriki uchaguzi huo. Akizungumza na wahariri na waandishi waandamizi wa vyombo vya hahari nchini, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametoa mfano wa makosa hayo yanayostahili kupuuzwa ni pamoja na wagombea kukosea herufi.

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

Kupitia mkutano huo uliofanyika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo Novemba 12, 2024, Balozi Nchimbi amesema ni vyema TAMISEMI ikaangalia uwezekano wa kuwarudisha wagombea wote walioenguliwa kutokana na makosa hayo madogo madogo ili kuhamasisha

SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

*CCM: TAMISEMI IPUUZE MAKOSA MADOGO MADOGO, KUKUZA DEMOKRASIA* CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeiomba Wizara ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kuwaelekeza wasimamizi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kupuuza makosa madogo madogo yaliyotokea, ili

𝐁𝐀𝐃𝐑𝐔 π‰π”πŒπ€ 𝐑𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 (@badrujumah) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tarehe 16 Novemba, 2024 kabla ya kuelekea Rio de Janeiro nchini Brazil kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa
SAFARIMOJANASAMIA (@samosatz) 's Twitter Profile Photo

KATIBU MKUU WA CCM DKT.NCHIMBI ATEMBELEA KARIAKOO. Balozi Nchimbi Ametembelea na Kujionea hali halisi ya Uokoaji inavyo fanyika na kuvipongeza vyombo vyote vinavyo fanya jitihada za kwanusulu wenzetu.

KATIBU MKUU WA CCM DKT.NCHIMBI ATEMBELEA KARIAKOO.

Balozi Nchimbi Ametembelea na Kujionea hali halisi ya Uokoaji inavyo fanyika na kuvipongeza vyombo vyote vinavyo fanya jitihada za kwanusulu wenzetu.
TANZANIA YANGU (@tanzaniayangu25) 's Twitter Profile Photo

MONGELA AWATAKA WANACCM NA WANANCHI KUWACHAGUA WAGOMEA WA CCM KWANI WANA UWEZO WA KUYOSHA Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi Tanzania Bara ndg. John Mongella amewataka wanachama wote wa CCM washirk kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

winharder_ (@winharder_) 's Twitter Profile Photo

katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na kuwaombea kura wagombea wote wa Wilaya ya Kigamboni katika Viwanja vya Mzimuni Kata ya Vijibweni Kigamboni. πŸ—“οΈ 21 Novemba, 2024. #Kijanimtaani

katika Mkoa wa Dar es salam leo ikiwa ni zamu ya Wilaya ya Kigamboni, CPA Makalla amewanadi na kuwaombea kura wagombea wote wa Wilaya ya Kigamboni katika Viwanja vya Mzimuni Kata ya Vijibweni Kigamboni.

πŸ—“οΈ 21 Novemba, 2024.

#Kijanimtaani
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8. Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi

Leo imekuwa siku ya baraka ambapo nimeungana na waumini na wananchi katika ufunguzi wa Kanisa la Arise and Shine, Dar es Salaam. Ujenzi wa nyumba za ibada ni maelekezo ya Mwenyezi Mungu kama yalivyoandikwa katika Kitabu cha Hagai 1:8.

Serikali itaendelea kushirikiana na taasisi
Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Ni faraja kubwa kuona Boti ya Utafutaji na Uokoaji imeshushwa kwenye maji ili kuanza kazi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM (2020-2025) unaolenga kuimarisha usalama wa watumiaji wa ziwa hilo ambalo ni muhimu kwa uchumi na maisha ya wananchi.