Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile
Samatime Car Dealers Co Ltd

@samatimemagari

A Registered Company Dealing with KU-AGIZA magari Japan,UK,Singapore,nk | KU-KODISHA gari za Harusi, Town Trips etc| KU-UZA | KUNUNUA MAGARI Used Hapa Nchini

ID: 1063333720378273792

linkhttps://linktr.ee/samatime calendar_today16-11-2018 07:31:29

37,37K Tweet

42,42K Takipçi

333 Takip Edilen

Samatime Car Dealers Co Ltd (@samatimemagari) 's Twitter Profile Photo

Mwisho katika mfumo wake wa upozaji napo kuwa makini kwa kutumia coolant sahihi na thermostat iwe sawa gari isije anza kuchemsha.. . Hii gari ni nzuri ila inahitaji matunzo mazuri na matunzo yake ni gharama kama haujajipanga vizuri [uchumi haujakaa level] sio gari ya kununua..

Mwisho katika mfumo wake wa upozaji napo kuwa makini kwa kutumia coolant sahihi na thermostat iwe sawa gari isije anza kuchemsha..
.
Hii gari ni nzuri ila inahitaji matunzo mazuri na matunzo yake ni gharama kama haujajipanga vizuri [uchumi haujakaa level]  sio gari ya kununua..