Salsuis Ally ๐Ÿ’Ž (@salsuis) 's Twitter Profile
Salsuis Ally ๐Ÿ’Ž

@salsuis

There are no permanent friends or permanent enemies, just permanent interests.

ID: 925002265559265280

calendar_today30-10-2017 14:11:40

703 Tweet

118 Followers

429 Following

TRT Afrika Swahili (@trtafrikasw) 's Twitter Profile Photo

Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini Kenya, KWS, limemuokoa duma mwenye umri wa miezi minne ambaye alipatikana akiwa ametelekezwa na mama yake katika wadi ya Sankuri kaunti ya Garissa.

Shirika la Huduma ya Wanyamapori nchini Kenya, KWS, limemuokoa duma mwenye umri wa miezi minne ambaye alipatikana akiwa ametelekezwa na mama yake katika wadi ya Sankuri kaunti ya Garissa.
Mohammed Kawaida (@comradekawaida) 's Twitter Profile Photo

Punguza makasiriko, tukutane 2030, 2025 agenda imemaliza, yaliyofanywa na Rais Samia hata mtoto mchanga anayajuwa na anayashuhudia

Maimuna Kassim Yussuf (@maimunakassim01) 's Twitter Profile Photo

Ramadan is the month in which the Quran was revealed as a guide for humanity with clear proofs of guidance and the standard หนto distinguish between right and wrongหบ. Iftar Gala 2024 by Sisters In Imaan at Hyatt Regency. Salma Iddy Sizya Puya

Ramadan is the month in which the Quran was revealed as a guide for humanity with clear proofs of guidance and the standard หนto distinguish between right and wrongหบ.

Iftar Gala 2024 by Sisters In Imaan at Hyatt Regency.
<a href="/SalmaIddy8/">Salma Iddy</a> <a href="/SizyaPuya/">Sizya Puya</a>
Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Kila la Kheri vijana wazalendo, waadilifu, wenye nidhamu, utii- weledi na wenye nguvu; sambamba na hamasa ya kupambania Taifa letu. Hongereni sana vijana sita kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwa kuaminiwa kwa lengo la kukimbiza Mwenge katika mikoa 31 yenye jumla ya

Kila la Kheri vijana wazalendo, waadilifu, wenye nidhamu, utii- weledi na wenye nguvu; sambamba na hamasa ya kupambania Taifa letu.  

Hongereni sana vijana sita kutoka Tanzania Bara na Zanzibar kwa kuaminiwa kwa lengo la kukimbiza Mwenge katika mikoa 31 yenye jumla ya
OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR (@tmsmim1757) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa ,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed, amewataka Watumishi kuwa ni mfano mzuri katika kufata misingi na kanuni za kiutumishi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa ,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed, amewataka Watumishi kuwa ni mfano mzuri katika kufata misingi na kanuni za kiutumishi.
Swahili Times (@swahilitimes) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera, Uratibu na Baraza la Wawakilishi, Hamza Hassan ameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu kujenga daraja kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar ili kutoa urahisi wa usafiri kwa pande zote mbili.

Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN WILAYANI LUDEWA Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) inaendelea Wilayani Ludewa- Kampeni hii ina dhamira ifuatavyo: โœ…Kutoa Elimu ya Masuala ya Kisheria- Ardhi, Madai, Mirathi, Ndoa, Jinai, Haki za Binadamu

MAMA SAMIA LEGAL AID CAMPAIGN WILAYANI LUDEWA

Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) inaendelea Wilayani Ludewa-

Kampeni hii ina dhamira ifuatavyo: 

โœ…Kutoa Elimu ya Masuala ya Kisheria- Ardhi, Madai, Mirathi, Ndoa, Jinai, Haki za Binadamu
Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) 's Twitter Profile Photo

AFYA Nukuu za Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akilivunja Baraza la 10 la Wawakilishi, leo tarehe 23 Juni 2025.

AFYA

Nukuu za Hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akilivunja Baraza la 10 la Wawakilishi, leo tarehe 23 Juni 2025.
The Citizen Tanzania (@thecitizentz) 's Twitter Profile Photo

JNIA BEST IN AFRICA Tanzania's Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam has been named Africa's Leading Airport at the 2025 World Travel Awards. JNIA scooped the award ahead of other renowned airports on the continent. Nominees included: ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Cape Town

JNIA BEST IN AFRICA 

Tanzania's Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam has been named Africa's Leading Airport at the 2025 World Travel Awards. 

JNIA scooped the award ahead of other renowned airports on the continent. Nominees included:

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Cape Town