OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR
@tmsmim1757
Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ
2277 Barabara ya Vuga,
S.L.P 4220,
70401 Mjini Magharibi,
Tel: +255242230034
ID: 1706977955350454272
https://tamisemim.go.tz/ 27-09-2023 10:24:32
362 Tweet
32 Followers
29 Following
Waziri wa Nchi OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa ameshiriki Dua Maalum ya kumuombea aliyekuwa Miongoni mwa waasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar Marehemu Maalim Hamid Ameir Ali, Dua hiyo iliyofanyika kijijini kwao Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja. π 06 April, 2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amefungua mafunzo ya siku mbili ya kuwajengea uwezo wakuu wa Serikali za Mitaa kuhusu usafi wa Miji pamoja na kupamba Miji ya Zanzibar hapo katika ukumbi wa Jiji la Zanzibar Michenzani mall. π 14 April, 2026
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR Mhe. Idrissa Kitwana amekutana na Wakuu wa Wilaya wapya mara tu baada ya kuapishwa, hafla hiyo imefanyika ofisini kwake Vuga. 13/4/2026
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla Hemed Suleiman Abdulla amefanya ziara ya kutembelea Mradi wa hospitali ya Kikosi cha Valantia Mtoni pamoja na mradi wa Ofisi za Wakala wa Ulinzi JKU Mtoni. π 21 April, 2026 π Mtoni, Zanzibar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa amefungua kongamano Maalum la Maadhimisho ya kutimia Miaka 62 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar lililofanyika katika Ukumbi wa Madina hall Wilaya ya Magharibi A. π 22 April, 2026 π Kianga, Zanzibar
Mkurugenzi Utumishi na Uendeshaji Ofisi ya Rais OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR Silima Juma Khamis amefungua Mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Utumishi ofisini kwake Vuga Mkoa wa Mjini Magharibi. π 26 April, 2026 π Vuga Zanzibar. @maelezozanzibar