Saa 24
@saa24_digital
Info blog | funny tweets & Trends | Broadcasting from Tanzania 🇹🇿
ID: 1824710142287351808
https://saa24.co.tz/ 17-08-2024 07:30:09
488 Tweet
411 Followers
20 Following
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amewasili nchini Morocco kwa ziara maalum ya kikazi akiwa na jukumu la kuwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, kwenda kwa Rais wa Shirikisho la Mpira wa