#NoReformNoElection✌️ (@s_saniniu) 's Twitter Profile
#NoReformNoElection✌️

@s_saniniu

Entrepreneur || Human rights activist || whistle Blower || Simba Fun || Arsenal Best Fan

ID: 346510803

linkhttp://justiceforall.org calendar_today01-08-2011 11:31:52

13,13K Tweet

689 Followers

514 Following

John Nguti Chadema (@johnnguticdm) 's Twitter Profile Photo

ALPHONCE MAWAZO aliuwawa kwa kuchinjwa akipigania #REFOMS za Nchi hii... Aliacha mtoto wake mdogo PRECIOUS na Mama yake angali bado wanamtegemea sana... Leo anajitokeza FALA kama Kipara anasema, #NoReformsNoElection ilikuwa ajenda ya Chama kwa nia ya kupima upepo...🚮

ALPHONCE MAWAZO aliuwawa kwa kuchinjwa akipigania #REFOMS za Nchi hii... Aliacha mtoto wake mdogo PRECIOUS na Mama yake angali bado wanamtegemea sana... Leo anajitokeza FALA kama Kipara anasema, #NoReformsNoElection ilikuwa ajenda ya Chama kwa nia ya kupima upepo...🚮
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

😀😀 Watu wameshachoka wanasema “Hatutaki!” Huyu mama hawamtaki na Oktoba kutiki hawataki #NoReformsNoElection 🔥 bado kidogo tu!

😀😀 Watu wameshachoka wanasema “Hatutaki!”
Huyu mama hawamtaki na Oktoba kutiki hawataki
#NoReformsNoElection 🔥 bado kidogo tu!
Martine Abdul Kandore (@martinabdul14) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wenzangu nawakaribisha kujiunga na mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (CHASO) ili tuweze kupambania mabadiliko kwenye nchi yetu kwa pamoja kama vijana wenye fikra tunduizi na maono ya kesho yetu. Andika majina yako na jina la chuo chako tuma kwenda namba hii 0620381647

Wanafunzi wenzangu nawakaribisha kujiunga na mtandao wa wanafunzi wa CHADEMA (CHASO) ili tuweze kupambania mabadiliko kwenye nchi yetu kwa pamoja kama vijana wenye fikra tunduizi na maono ya kesho yetu.

Andika majina yako na jina la chuo chako tuma kwenda namba hii 0620381647
SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Mchana nilitoka kula... hii cruiser nyeupe ni kama niliiona sheli Baada ya hiyo Tweet yangu ya mwisho kuna simu nimepokea isiyoeleweka... Sasa hivi hiyo cruiser imepaki hapa nje I WON'T FOLD, AND I WON'T FAIL. Kuna watu wanapinda ila sio mimi. #NRNE

Mchana nilitoka kula... hii cruiser nyeupe ni kama niliiona sheli

Baada ya hiyo Tweet yangu ya mwisho kuna simu nimepokea isiyoeleweka... Sasa hivi hiyo cruiser imepaki hapa nje

I WON'T FOLD, AND I WON'T FAIL. Kuna watu wanapinda ila sio mimi.

#NRNE
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

🔥🔥 John Heche the warrior ✊🏽🔥 Muraa! This is a frivolous case that aims to stop the momentum of Chadema Tanzania Ni hivi hata sisi tusio wanachama viongozi wa ngazi mbalimbali watoe namba tuwachangie wao directly shughuli ziendelee 👊🏽 #NoReformsNoElection is unstoppable !

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Dude admitted to having committed blatant crimes. Pointed out what it takes for CCM to remain in power. But, no arrest or investigation.. or even a plastic rebuttal from the gov. This is why we need reforms & electoral justice. #NoReformsNoElection

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Chama pekee kinachozungumza kuhusu maisha ya watu. Chama pekee kinachopigania utajiri wa Nchi yetu kutumika kwaajili ya maisha ya Watanzania. Hii ni sehemu ya hotuba ya Mwenyekiti wetu Mbamba bay kabla ya kukamatwa na kupewa kesi ha uongo ya Uhaini. #NoReformsNoElection

kuringe sawere Timbiri (@kuringechadema) 's Twitter Profile Photo

Huyu dada viola mtetezi ameamua kuukataa uchawa amesimama upande wahaki sasa Samia Suluhu hataki kukosokewa kafanya mpaka mpambanaji huyu kuhama anapokaa kwaajili ya usalama wake kapokea vitisho vingi sana Police Force TZ kama mnamuitaji basi muiteni kwny vymb vya Sheria na sio kumuwinda

Huyu dada viola mtetezi ameamua kuukataa uchawa amesimama upande wahaki sasa <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> hataki kukosokewa kafanya mpaka mpambanaji huyu kuhama anapokaa kwaajili ya usalama wake kapokea vitisho vingi sana <a href="/tanpol/">Police Force TZ</a> kama mnamuitaji basi muiteni kwny vymb vya Sheria na sio kumuwinda
#NoReformNoElection✌️ (@s_saniniu) 's Twitter Profile Photo

Asie lala mchana wala usiku,awanyeshea mvua wovu na wema Mungu mkuu Jehovah,Simba wa kabila la Yuda, Mungu wa baba zetu Abraham,Isaack na Yakobo, Mungu aonae Sirini,Mungu uliekuepo kabla ya Misingi ya dunia tunakuomba hawa malaika wanamwitaji baba yao,Usikie vilio vyao

Asie lala mchana wala usiku,awanyeshea mvua wovu na wema Mungu mkuu Jehovah,Simba wa kabila la Yuda, Mungu wa baba zetu Abraham,Isaack na Yakobo, Mungu aonae Sirini,Mungu uliekuepo kabla ya Misingi ya dunia tunakuomba hawa malaika wanamwitaji baba yao,Usikie vilio vyao
#NoReformNoElection✌️ (@s_saniniu) 's Twitter Profile Photo

Wakati huu ndugu Wakili alkua amesimama na #NoReformsNoElection baadae baada ya kuhakikishiwa akabadili gia angani #LindaKura 😂😂😂