Abertus Paschal πŸ‡ΉπŸ‡Ώπ• (@rutaraka) 's Twitter Profile
Abertus Paschal πŸ‡ΉπŸ‡Ώπ•

@rutaraka

π™Ώπšžπš‹πš•πš’πšŒ & π™³πš’πšπš’πšπšŠπš• π™³πš’πš™πš•πš˜πš–πšŠπšŒπš’ | #π™Ώπš›πš˜πšžπšπš•πš’πšƒπšŠπš—πš£πšŠπš—πš’πšŠπš—πŸ‡ΉπŸ‡Ώ | π™±πšŽπš•πš’πšŽπšŸπšŽπš› 𝚘𝚏 πšπš‘πšŽ πš„πšπšƒ | πšπšπšœβ‰ πšŽπš—πšπš˜πš›πšœπšŽπš–πšŽπš—πšπšœ

ID: 525710148

calendar_today15-03-2012 20:11:07

88,88K Tweet

8,8K Followers

1,1K Following

Samia Suluhu (@suluhusamia) 's Twitter Profile Photo

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika. Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na

Kheri ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika.

Siku hii muhimu inatukumbusha wajibu wetu kama wazazi na viongozi wa kujenga jamii na taifa bora ambalo litamwezesha kila mtoto kukua na kuzifikia ndoto zake. 

Kazi kubwa tunayoendelea kuifanya ya kutunga na kutekeleza mipango na
mbelwa Kairuki (@mbelwak) 's Twitter Profile Photo

A UK-registered charity, Naya Qadam, will conduct a limb rehabilitation outreach and training programme in Zanzibar in September 2025. The mission, led by Dr Viquar Qurashi and supported by UK-based Tanzanian diaspora Madam Zarina Jafferjee, will provide free prosthetic limbs to

Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel Anjana Patel Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia

Jana nilipata fursa ya kuonana na Bi. Anjana Patel <a href="/anjanapatel01/">Anjana Patel</a> Mwanadiaspora wa Tanzania aliyechaguliwa hivi karibuni kuwa Mstahiki Meya wa Manisaa ya Harrow ya Jijini London. Bi Patel amezaliwa Tanzania na kusomea Shule ya Msingi ya Mtendeni jijini Dar es salaam. Alihamia
Khamis Suedi Kagasheki (@kkagasheki) 's Twitter Profile Photo

Tunaishi Ulimwengu wa ajabu. Kuna watu wakiona clip za vifo vya raia huko Kivu kaskazini na kusini, Gaza, Tehran, Tel Aviv wanashabikia na hata kufurahia. Hayajakukuta. Yakikukuta wewe mwenyewe, baba au mama yako, mwanao au ndugu yako, tutajuwa ubaya wa vita, madhara ya vita.

ikulu_Tanzania (@ikulumawasliano) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Tanzania High Commission I United Kingdom (@ubaloziuk) 's Twitter Profile Photo

The Embassy is pleased to invite all Tanzanians and members of the Tanzanian diaspora residing in Ireland to a meeting with *His Excellency Mbelwa Kairuki* , Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ireland. πŸ—“ *Date:* Sunday, 22nd June 2025 πŸ•“ *Time:* 4:00 PM – 6:00 PM

The Embassy is pleased to invite all Tanzanians and members of the Tanzanian diaspora residing in Ireland to a meeting with *His Excellency Mbelwa Kairuki* , Ambassador of the United Republic of Tanzania to Ireland.

πŸ—“ *Date:* Sunday, 22nd June 2025
πŸ•“ *Time:* 4:00 PM – 6:00 PM
Hussein M Bashe (@husseinbashe) 's Twitter Profile Photo

Mapema jana 16.06.2025 wakati Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu akihutubia Wananchi baada ya kuzindua Kiwanda cha kuchakata pamba na mafuta cha Moli Oils Company Ltd, eneo la Salunda, Bariadi. Uimarishaji wa Viwanda kwenye Sekta ya Kilimo ni hatua muhimu katika kuhakikisha Tanzania

Anjana Patel (@anjanapatel01) 's Twitter Profile Photo

It was an honour and a privilege to meet with H.E of Tanzania yesterday. I look forward to meeting you and working with you. #Tanzania #daresalaam #harrow #Diaspora

Tanzania Consulate General | Guangzhou (@tzcgguangzhou) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahamoud Thabit Kombo, ametembelea Ofisi ya Konseli Kuu ya #Tanzania iliyoko jijini #Guangzhou, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini #China.