Royal Prints Tz (@royalprints_tz) 's Twitter Profile
Royal Prints Tz

@royalprints_tz

Graduate Petroleum Engineer ||Expert in Oil and gas|| Enthusiast || Entrepreneur||CEO: Future Investment Co.

📌Be you and add discipline in all aspects

ID: 770720794276204544

linkhttp://www.petroleumexplorers.blogspot.com calendar_today30-08-2016 20:32:11

3,3K Tweet

611 Followers

165 Following

James Munisi (@njiwaflow) 's Twitter Profile Photo

#UZI 💨 MINARA YA SIMU ✴ Raia wanachonga sana "eti inasababisha kansa" 😏 loh. ✴ Watu wa minara wanaweza kukulipa hadi milioni 6 kila mwezi. ✴ Kama unatumia Tecno na Samsung baadhi na ulipo unapata network kwa shida twende pamoja #FLowMaTaTa tiririka nazo 👇

#UZI
💨 MINARA YA SIMU

✴ Raia wanachonga sana "eti inasababisha kansa" 😏 loh.

✴ Watu wa minara wanaweza kukulipa hadi milioni 6 kila mwezi.

✴ Kama unatumia Tecno na Samsung baadhi na ulipo unapata network kwa shida twende pamoja
#FLowMaTaTa tiririka nazo 👇
P'site Shio (@psiteshio1) 's Twitter Profile Photo

Good morning Tanzania. Nimecheza kamari zaidi ya miaka 6, na nikagundua kuwa ni umaskini. Wacheza kamari ni maskini wakubwa, hawana wazo, Matajiri wamefilisika, wameuza mpaka nyumba nimeshuhudia. vijana wengi wezi na matapeli, ombaomba na Wana nguvu za ... #Thread #retweet

Good morning Tanzania.

Nimecheza kamari zaidi ya miaka 6, na nikagundua kuwa ni umaskini.

Wacheza kamari ni maskini wakubwa, hawana wazo, 

Matajiri wamefilisika, wameuza mpaka nyumba nimeshuhudia.

vijana wengi wezi na matapeli, ombaomba na Wana nguvu za ...

#Thread
#retweet
Mr Used 🇹🇿 (@iamosward) 's Twitter Profile Photo

Mwanariadha wa Kenya Abel Mutai alikuwa karibu na mstari wa kumaliza mbio, akachanganya alama za kumaliza mbio na kusimama akifikiri ameshaliza na ni mshindi, ingawa hakuwa amevuka mstari ili kuwa mshindi wa kwanza, mita kumi kabla ya finish line. Mwanariadha wa Hispania Ivan

Mwanariadha wa Kenya Abel Mutai alikuwa karibu na mstari wa kumaliza mbio, akachanganya alama za kumaliza mbio na kusimama akifikiri ameshaliza na ni mshindi, ingawa hakuwa amevuka mstari ili kuwa mshindi wa kwanza, mita kumi kabla ya finish line.

Mwanariadha wa Hispania Ivan
EastAfricaTV (@eastafricatv) 's Twitter Profile Photo

#CAFCL Hii ndio maana ya Mdomo kuponza Kichwa😀🤷? Wanasimba mnalipi la kusema kwa huyu shabiki😀🤷? #CAFCL #EastAfricaTV

Royal Prints Tz (@royalprints_tz) 's Twitter Profile Photo

Amazing AI editing and generating tool by Fotor Fotor. Sign up to get 10 free credits for AI image creating. fotor.com/referrer/2hlm1…

Habari Digital (@habaridigital_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Vijana maarufu kwa jina la 'Wadudu' wameungana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la mpiga kura. Wadudu wamefika katika kituo cha kujiandikisha wakiwa na gari lao la mbao walilolipa jina la

Simon L. Matiko (@simonmatiko_) 's Twitter Profile Photo

Hawa ndo wanawake wa kuoa sasa 🙌 mtoto kafunzwa akafunzika. Kuna somo kubwa sana hapa linatolewa na huyu dada. Msikilize kwa makini 👇👇👇

Royal Prints Tz (@royalprints_tz) 's Twitter Profile Photo

Wana wa Israel walitembea 650km kwa miaka 40, ni sawa na umbali wa 16km kila mwaka, sawa mita 44 kila siku.. Yaani kwa siku walikuwa hawavuki hata nusu ya kutoka goli hadi goli.. Hii imekaaje kitaalamu.?

OBBY (@obby__davinci) 's Twitter Profile Photo

Je wajua nini kiliwatokea mitume wa yesu Mitume wa Yesu walikufa kwa njia tofauti, nyingi zikiwa za mateso kutokana na imani yao na kazi ya kueneza Injili. Hii ni orodha ya jinsi mitume wa yesu walivyokufa kulingana na mapokeo ya kihistoria na ya Kikristo:

Je wajua nini kiliwatokea mitume wa yesu 

Mitume wa Yesu walikufa kwa njia tofauti, nyingi zikiwa za mateso kutokana na imani yao na kazi ya kueneza Injili. Hii ni orodha ya  jinsi mitume wa yesu walivyokufa kulingana na mapokeo ya kihistoria na ya Kikristo:
TheProtégéTZ (@giboretz) 's Twitter Profile Photo

BAADHI YA VIFAA AMBAVYO ZIMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI LAKINI UNAWEZA KUVINUNUA MTANDAONI Unataka ku'hack' simu, whatsapp au instagram ya mtu? Au hutaki kununua bando unataka uhack WIFI? Shuka navyo🧵

BAADHI YA VIFAA AMBAVYO ZIMEPIGWA MARUFUKU NCHI NYINGI LAKINI UNAWEZA KUVINUNUA MTANDAONI

Unataka ku'hack' simu, whatsapp au instagram ya mtu? 

Au hutaki kununua bando unataka uhack WIFI?

Shuka navyo🧵