Rockline Kingu (@rocklinekingu) 's Twitter Profile
Rockline Kingu

@rocklinekingu

Forever We Thank You. Alhamdulillah

ID: 601844246

calendar_today07-06-2012 12:52:03

1,1K Tweet

2,2K Takipçi

609 Takip Edilen

Rockline Kingu (@rocklinekingu) 's Twitter Profile Photo

Iwe Mwenyekiti wa Klabu au Rais wa Klabu, wanachama wa Yanga bado tutamchagua Mhandisi Hersi Said kuwa kiongozi mkuu wa Dar es Salaam Young Africans. #DaimaMbeleNyumaMwiko

Iwe Mwenyekiti wa Klabu au Rais wa Klabu, wanachama wa Yanga bado tutamchagua Mhandisi Hersi Said kuwa kiongozi mkuu wa Dar es Salaam Young Africans.

#DaimaMbeleNyumaMwiko
Rockline Kingu (@rocklinekingu) 's Twitter Profile Photo

Leo Tawi la Yanga Twitter Family limefanya ziara maalum katika Shule ya Msingi Toangoma kwa lengo la kuwafariji na kuwasaidia watoto wenye mahitaji maalum. Ziara hii ni sehemu ya shughuli mbalimbali katika kuelekea kilele cha Wiki ya Mwananchi, ambayo itafanyika kesho.

NSSF Uganda has paid dividends to its members, while our NSSF is having issues with retirees over delayed and inadequate returns after years of contributing.

Rockline Kingu (@rocklinekingu) 's Twitter Profile Photo

Life is like a final whistle, when it’s over, it’s over. But football? It is a game of endless comebacks. You may lose this match, but there is always another season to lace up your boots, rewrite the playbook, and go for glory again! ⚽🏆 Keep chasing that goal. Until Next

Life is like a final whistle, when it’s over, it’s over. But football? It is a game of endless comebacks. You may lose this match, but there is always another season to lace up your boots, rewrite the playbook, and go for glory again! ⚽🏆 Keep chasing that goal. 

Until Next
Rockline Kingu (@rocklinekingu) 's Twitter Profile Photo

Nimeona huu uwanja nikakumbuka mechi ya Stellies na Kolo 🦁 halafu akili ikawaza ule msemo wa “kila mtu atambe pande zake” 😂😂😂. Looking forward to the return leg.

Kilichotokea leo KMC ni dhahiri kuwa Kolo, TFF na Bodi ya Ligi wana jambo lao. Haihitaji akili kujua March 8 walikubaliana kuwanusuru Makolo na aibu.