RCM (@robkidayo) 's Twitter Profile
RCM

@robkidayo

ID: 1395626568458940416

calendar_today21-05-2021 06:24:59

76,76K Tweet

8,8K Takipçi

7,7K Takip Edilen

Fadhili Kangusi (@fadhilikangusi) 's Twitter Profile Photo

Peter Msigwa alidhani akihamia CCM atakuwa na nyomi lile lile, kumbe watu wanataka mabadiliko. Siku hizi hata akikatiza mtaani, hashobokewi.

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

If I am to say anything today, I’d tell Samia Suluhu to reconsider plans of eliminating Soka & his colleagues. They’re outright innocent and should be treated as such. Critiquing you isn’t a crime. Release them from captivity. Please, SASHA, release the boys NOW.

If I am to say anything today, I’d tell <a href="/SuluhuSamia/">Samia Suluhu</a> to reconsider plans of eliminating Soka &amp; his colleagues. 

They’re outright innocent and should be treated as such. Critiquing you isn’t a crime.

Release them from captivity. 

Please, SASHA, release the boys NOW.
Chezalive (@chezalive) 's Twitter Profile Photo

Kaitazame Barcelona utakutana na Kijana Mdogo mwenye Miaka 17 Tu Ambaye anaiongoza Safu ya ulinzi wao, kwenye Kujilinda mpaka Kuongoza Mashambulizi. Ni Pau Cubarsi ambae Uchezaji wake umemfanya alinganishwe na Beki Carles Puyol. Kwanini Anasifiwa Sana, Shuka Na Uzi ⬇️

Kaitazame Barcelona utakutana na Kijana Mdogo mwenye Miaka 17 Tu 

Ambaye anaiongoza Safu ya ulinzi wao, kwenye Kujilinda mpaka Kuongoza Mashambulizi.

Ni Pau Cubarsi ambae Uchezaji wake  umemfanya alinganishwe na Beki Carles Puyol.

Kwanini Anasifiwa Sana, Shuka Na Uzi ⬇️
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amehoji kwanini mkataba wa uwekezaji kati ya Bandari ya Dar es salaam na kampuni ya DP World haujapelekwa Bungeni ili Wabunge waupitie na kujua makubaliano yaliyofikiwa. Mpina amehoji hilo Bungeni Dodoma leo November 07,2024 wakati

Adamoo (@addy_adams) 's Twitter Profile Photo

"Nani aliyekubali kwamba sisi tunakubali uwekezaji wa Bilioni 687? nani aliyekubali kwamba sisi tumekubali rate ya kugawana mapato na DP World kwa ratio ya 40% kwa 60%? Nani aliyekubali?" - Luhaga Mpina (MP Kisesa)