Rįdh
@ridh_one_1
ID: 3377634273
15-07-2015 18:42:04
15,15K Tweet
2,2K Followers
4,4K Following
Mheshimiwa Dr. Hamisi Kigwangalla una lolote la kusema kuhusu Simba Sports Club ?? Ni muda hatujasikia neno lako mkuu
Mwenyekti wa African Clubs Association bwana Eng. Hersi Said hajasema lolote kuwapongeza Simba Sports Club kufika fainali ya CAFCC😅😅 au cheo chake ni kwa klabu ya Yanga tu😅😅😅
Uongozi wa JKT Tanzania FC, kwa niaba ya timu nzima, unaipongeza klabu ya Simba Sports Club kwa kucheza hatua ya fainali ya mashindano ya kombe la Shirikisho Afrika na kufanikiwa kuwa washindi wa pili. #UzalendoKwanza #WajengaNchi #KichapoChaKizalendo