REGAN™🔴 (@reganimmary) 's Twitter Profile
REGAN™🔴

@reganimmary

Kaskazini Ndiyo HOME. || HUKU Natafuta Tu Maisha. || DINI Wahuni Siyo WATU.📌

ID: 1392535636436037634

calendar_today12-05-2021 17:42:53

89,89K Tweet

6,6K Followers

667 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni MUASI kwasababu napinga mifumo KANDAMIZI inayoendelea TANZANIA. Naomba WAASI wenzangu tujuane kwa KUGONGA REPOST 400 hapa🔥🔥🚨🚨

Mimi ni MUASI kwasababu napinga mifumo KANDAMIZI inayoendelea TANZANIA.

Naomba WAASI wenzangu tujuane kwa KUGONGA REPOST 400 hapa🔥🔥🚨🚨
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Habari ndugu zangu. Vifo vya ndugu zetu havitakuwa na maana kama tukiishia kupost mitandaoni na kuumia mioyoni. Tunatakiwa kufanya zaidi. Hapo chini nimeweka Link ya mahakama ya ICC. Hii ni mahakama pekee DUNIANI inaweza kumfunga SAMIA kwa mauaji aliyofanya. Tangu jana

Habari ndugu zangu.

Vifo vya ndugu zetu havitakuwa na maana kama tukiishia kupost mitandaoni na kuumia mioyoni. Tunatakiwa kufanya zaidi. Hapo chini nimeweka Link ya mahakama ya ICC.

Hii ni mahakama pekee DUNIANI inaweza kumfunga SAMIA kwa mauaji aliyofanya. Tangu jana
REGAN™🔴 (@reganimmary) 's Twitter Profile Photo

Mechi za uwakika zenye odds nyingi Kwa Leo • Brentford win 3.90 • Man city win 2.05 • Stuttgart win 4.33 • Real sociedad 2.75 Kwa wale wa draw • Genoa draw 2.90 • Bologna draw 3.40 • Reggiana draw 3.30 Unaweza uka wachukua wote Kwa pamoja au mmoja mmoja Kwa uwakika

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Oyaaa , Machalii wangu wa Gen Z wangu nisikilize hapa vizuri 🗣️🔥 Wateja wakuu wa show za wasanii nchini ni nyie Gen Z. Sasa kama kuna wasanii wameamua kuwa chawa, hakuna haja ya kupiga kelele kuna njia moja tu, rahisi na ya AMANI , ⛔️ Usihudhurie show zao. ⛔️ Wa-unfollow kila

davidmcallister (@davidmcallister) 's Twitter Profile Photo

The elections in Tanzania were anything but democratic. Intimidation, violence, the imprisonment of Tundu Lissu, and the exclusion of the opposition reveal a clear slide into authoritarianism.   There can be no “business as usual” for the EU! The people of 🇹🇿deserve better!

Latto 𝕏 (@rydx_017) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kutuma video, picha hata voice note kutumia Bitchat, bila ya Internet. Bitchat itafanya kazi na kukuwezesha kuchat na mtu aliye mbali zaidi kwa sharti moja tu! Maeneo uliyopo wawepo watu wengi wanaotumia Mtandao huo. Since unatumia Bluetooth, na bluetooth ina- cover

Unaweza kutuma video, picha hata voice note kutumia Bitchat, bila ya Internet.

Bitchat itafanya kazi na kukuwezesha kuchat na mtu aliye mbali zaidi kwa sharti moja tu!

Maeneo uliyopo wawepo watu wengi wanaotumia Mtandao huo.

Since unatumia Bluetooth, na bluetooth ina- cover
Sengo (@kato_lubu) 's Twitter Profile Photo

If you see the love of Tanzanians in this artwork, then share or repost so that others can also see this love of Tanzanians.

If you see the love of Tanzanians in this artwork, then share or repost so that others can also see this love of Tanzanians.