Nakupongeza Askofu Mkuu Protase Rugambwa kwa kuteuliwa na Baba Mtakatifu Fransisko kuwa Kardinali. Naungana na Watanzania wote kukutakia kheri na kukusindikiza katika sala, unapoendelea na kazi yako ya utume katika hatua hii mpya.
Mwenyezi Mungu ambaye amekuinua kwa baraka na
Ahsanteni wana Simba kwa kunialika kushiriki nanyi katika siku yenu muhimu hii leo. Hongereni kwa siku nzuri. Pongezi kwenu kwa kuendelea kutangaza utalii wa nchi yetu kwa kufikisha kibegi katika kilele cha Mlima Kilimanjaro. Michezo inatuleta pamoja, inatupa burudani, na
Pongezi za dhati kwa Spika wa Bunge letu, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Ushindi huu ni ushuhuda wa kazi kubwa unayoendelea kuifanya na imani wajumbe waliyo nayo juu yako na nchi yetu. Kuchaguliwa kwako pia ni matokeo ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia kibao cha Uzinduzi wa mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) kwenye hafla iliyofanyika katika Ofisi za Baraza hilo Kijitonyama - Dar es Salaam tarehe 16 Desemba, 2023.
Leo tarehe 12 Januari 2024 TUNAPOADHIMISHA miaka 60 ya MAPINDUZI ya ZANZIBAR , ninakushukuru sana Mheshimiwa Rais Mstaafu AMANI ABEID KARUME kwa UAMUZI ulioufanya mwaka 2004, kwamba MAKOSA YOTE YA JINAI hapo ZANZIBAR yawe na DHAMANA. Hongereni WAZANZIBAR wote.
Prime Minister Edward Lowassa was a respected and progressive leader who worked for the greater good of the people of Tanzania and the East African Region.
We honour the distinguished life that he led, his work and the rich legacy that he leaves behind.
May God grant the
Naungana na Watanzania wenzangu kutoa pole kwa familia na marafiki wa wote waliopoteza wapendwa wao katika ajali mbaya iliyotokea huko Arusha, ambayo mpaka sasa imepoteza maisha ya watu 25 na majeruhi wapo 21 kwa mujibu wa Jeshi la Polisi. Tupo nanyi katika mawazo na sala zetu
Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar
Nawatakia Waislamu wote mfungo mwema wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema kwa kutujalia baraka ya kufikia tena kipindi hiki muhimu katika imani.
Yeye Mtukufu Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu, Yeye tegemeo letu, Mwenye kutuona tunaposimama na
Malengo ya mtaala hata yawe mazuri kwa kiwango gani, kama mwalimu hajaandaliwa kuyatafsiri kupitia shughuli za ujifunzaji anazoziandaa darasani kwake, kama mwalimu hawezi kuyaishi malengo hayo na kuyachopeka kila anapoandaa somo lake, hakuna kitakachobadilika katika elimu.
Unafanya matendo yanayomwuumiza mtu halafu ukishajiridhisha kaumia, wewe huyo huyo unajigeuza mfariji wake kumtia moyo kuwa asiumie.
Ukishamwuumiza mtu angalau kuwa na utu umwache auguze maumivu. Faraja kwa mtu uliyemwuumiza kwa mak’sudi ni kukosa haya.
TAARIFA SAHIHI KUHUSU MKOPO WA TRILIONI 6.8 AMBAO TANZANIA UMEUPATA KUTOKA KATIKA SERIKALI YA JAMHURI YA KOREA.
Mkopo huu ambao Tanzania imeupata ni mkopo wa Dola 2.5 bilioni ambao ni mkopo wa masharti nafuu ili kufadhili miradi muhimu ya maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano
Siku nzuri ya kazi na mazungumzo na wananchi Mbinga ambapo pamoja na mambo mengine, kazi inaendelea katika ujenzi wa Bandari ya Mbamba Bay (kuwapa fursa wananchi wa Mkoa wa Ruvuma kufanya biashara ya uhakika kwenye Ziwa Nyasa) na ujenzi wa barabara ya lami ya kilometa 66, Mbinga