Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile
Ramani

@ramani_io

We're building digital & financial infrastructure for Africa's supply chains

ID: 1450828412579454977

calendar_today20-10-2021 14:17:16

11 Tweet

208 Takipçi

0 Takip Edilen

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Je, ungependa kusikia maoni ya wateja wetu kuhusu Ramani?📝 Na wewe pia unaweza kujiunga nasi kua mmoja wao!💪🏽 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

Je, ungependa kusikia maoni ya wateja wetu kuhusu Ramani?📝

Na wewe pia unaweza kujiunga nasi kua mmoja wao!💪🏽

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kufikiria kuleta teknolojia ndio suluhisho la matatizo ya wasambazaji. Lakini tumegundua kuwa teknolojia ni kiungo tu na sio chakula chenyewe. Baada ya kuunganisha teknolojia na ufadhili, ndipo tulipoona maendeleo makubwa katika biashara za wasambazaji wetu📈

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Tulianza kukopesha bidhaa kwa wasambazaji kwa mkopo. Kisha tukachukua hatua zaidi — tukashirikiana na benki ili kufanya upatikanaji wa mikopo kuwa wa uharaka, na urahisi, ili tuweze kuingiza watu zaidi kwenye mfumo wa kifedha🏦

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Katika juhudi za kujibu maswali na changamoto za wateja wetu, tunazindua mfumo mpya wa biashara ambao tunatarajia utasaidia shughuli zao ziende kwa urahisi zaidi, na kwa ufanisi mkubwa🖥️⚙️ Je, umealikwa??👀

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

The countdown begins!!🤩⏰ 5️⃣ Days To Go!!💚 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

The countdown begins!!🤩⏰

5️⃣ Days To Go!!💚

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Kama hujapata mualiko wa Ramani Product Launch Day, usiwaze!! Jiunge nasi Jumanne, tarehe 1 Julai, LIVE kwenye YouTube na Instagram yetu!!📲 Links zipo kwenye Instagram bio yetu🔗 Ramani Instagram Page: instagram.com/ramani.io?igsh…

Kama hujapata mualiko wa Ramani Product Launch Day, usiwaze!! Jiunge nasi Jumanne, tarehe 1 Julai, LIVE kwenye YouTube na Instagram yetu!!📲

Links zipo kwenye Instagram bio yetu🔗

Ramani Instagram Page: instagram.com/ramani.io?igsh…
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

4️⃣ Days To Go!!🚀💚 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

4️⃣ Days To Go!!🚀💚

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

•1/7/2025• 🚀💚 - - - - #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

3️⃣ Days To Go!!🚀💚 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

3️⃣ Days To Go!!🚀💚

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

1️⃣ Day To Go!!🚀💚 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

1️⃣ Day To Go!!🚀💚

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Financing the Future — Get ready to dive into an insightful panel discussion as we get to hear from some of the voices shaping the future💪🏽 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

Financing the Future — Get ready to dive into an insightful panel discussion as we get to hear from some of the voices shaping the future💪🏽

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Are Credit & Tech the secret ingredients?👀 Tune into our brand panel to find out how Ramani is helping brands sell more!💰 #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania

Are Credit & Tech the secret ingredients?👀 Tune into our brand panel to find out how Ramani is helping brands sell more!💰

#ZamaMpyaZaBiashara
#productlaunchday 
#BuildingFor100M_People
#RamaniFinance
#Ramani.io 
#daressalaam 
#tanzania
Mrusha Jones (@mbongo) 's Twitter Profile Photo

Heartfelt congratulations to #UsiriBrothers & the entire Ramani team on the stellar launch of #RIPA (not LIPA, already TZS 2B+ in trnx) #StartUp’s Innovative suite of #ProsperityGrowing products & services poised to finance the future of the next #100Million Tanzanians.

Heartfelt congratulations to #UsiriBrothers &amp; the entire <a href="/ramani_io/">Ramani</a> team on the stellar launch of #RIPA (not LIPA, already TZS 2B+ in trnx)

#StartUp’s Innovative suite of #ProsperityGrowing products &amp; services poised to finance the future of the next #100Million Tanzanians.
Haulay - Pre Rich (@positivenga1) 's Twitter Profile Photo

Ramani has disbursed over 700 Billion TZS in non-collateral credits in Tanzania! And today they have launched a new product that aligns with their mission! Great time for the 🇹🇿 tech ecosystem! Congrats Iain Usiri Calvin Usiri and the entire Ramani team!

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Mauzo yakiwa chini haimaanishi fedha kukauka. Je, unalazimika kukopesha wasambazaji? Ramani inafanya hivyo kwa niaba yako — wewe unabaki na mtiririko wa fedha.

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

🚀 Just launched: RIPA — Rapid Payment Application Built by Ramani in collaboration with Stanbic. 💸 Instant loan disbursement + supplier payment 🕐 In under 1 minute 🧾 No collateral needed This is how you build for 100 million.

Ramani (@ramani_io) 's Twitter Profile Photo

Kick back, relax, and relive the excitement of Ramani’s Product Launch Day!🚀 Enjoy the show!!🤩🎞️ #ZamaMpyaZaBiashara #productlaunchday #BuildingFor100M_People #RamaniFinance #Ramani.io #daressalaam #tanzania