Team Mombasa Raha๐ด
@raha_team
Fans wa Qwetu Radio. Forward ever backwards never. Hatuna haraka team mombasa, mambo yetu mos mos.
ID: 886611233214017536
16-07-2017 15:39:25
2,2K Tweet
1,1K Followers
606 Following
Alex gideyi Team Mombasa Raha๐ด Denis obara Phibian Chepkuto ChrisWerreAKAsponsor Dorah Manya QwetuRadio Kama kawa lazima mfumbiwe, mpashwe, mchongolewe na mchambwe ndio mtie akili #QwetuKazini
Leo hii ni KAAAALI SAAANA. #NURUYALUGHA imekwisha kung'oa nanga Radio Maisha inagota na kugonga kisonko
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Natia ubora ili siku moja nivae kiatu chako kwenye radio
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha kasa nipo ndani #Nuruyalugha
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Tamu sana. Naipata loud & clear nkiwa mombasa #NuruYaLugha
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Mwana wa Ali huwa watusahau sana timu twita, leo usitusahau. #NuruYaLugha
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Likoni Mombasa Tunasikiza Nuru Ya Lugha #NuruYaLugha
Ali Kauleni Hassan Sweetbaby mwangi ๐ Radio Maisha Niko ndani ya nuru ya lugha niko hapa Ruiru
Freddie Mutethia๐ฐ๐ช Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Likoni Mombasa Tunafatilia Nuru Ya Lugha Hadi Tamati #NuruYaLugha
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Nimejitoma ndani mzimamzima... Pamoja hadi tamati... Raaaaaaaha! #NuruYaLugha
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Maaaaaaneeeeno hayo . #NURUYALUGHA . #NURUYALUGHA
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha #NuruYaLugha Uhondo ulioje?... Philo ni mwanahistoria mzuri..anaeleza hadi naiona picha mwafaka... Apokee salamu zangu nampenda sana.
Ali Kauleni Hassan Radio Maisha Daaa show zaidi ya show, hili ni igizo, hojia nzuri, msikizaji mwaminifu mmie,japo chini ya maji
Mui huwa mwema, congratulations 2 Harun, alifanya jambo la maana kuwacha uhuni. Radio Maisha Shugaboy KE emmanuel mwashumbe #MwashumbeNaShugaboy