Egbert Primus (@primusegbert) 's Twitter Profile
Egbert Primus

@primusegbert

Yanga SC & Man city Fan|Tanzania🌏| Mkulima|muuza nafaka|Baba watatu

ID: 580382419

calendar_today15-05-2012 00:34:17

810 Tweet

365 Takipçi

4,4K Takip Edilen

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

VIDEO: Kamati ya Kitaifa ya Kurejesha Haki na Amani Nchini imeeleza kuwa inaendelea na maandalizi ya ajenda muhimu zitakazojadiliwa katika Mkutano wa Kitaifa wa Kurejesha Haki na Amani, ikiwa na lengo la kuhakikisha mkutano huo unafanikiwa kwa kiwango cha juu na kuleta matokeo

Thom Mnkondya (@thommunkondya) 's Twitter Profile Photo

Kipindi hiki hata kauli za kejeli na za kijinga kama hizi zitaonekana ni za maana sana. Unawezaje kulinganisha zoezi la hesabu la kawaida na zoezi linalo hitaji ukusanyaji ushahidi,kuhoji watu,kufatilia madai yote na kuchambua taarifa zote ili utoe hitimisho. Kwamba tume

Egbert Primus (@primusegbert) 's Twitter Profile Photo

Unafiki kitu kibaya sana ko unatetea upuuzi kabsaa Elimu yako inakusaidia nini ndo maana tunaona kila mtu akiwa CCM hupoteza akili kabsa

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31. Nitatoa Zawadi ya 1m. watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5. Unachotakiwa kufanya niambie hio TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani? Comment au Quote

#TajiriLaKihaya 

Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.

Nitatoa Zawadi ya 1m. 
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.

Unachotakiwa kufanya niambie hio 
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?

Comment au Quote