peter peter
@peter_thp
Digital Content Creator/Social Media Influencer/Nature Lover/Football Fanatic/@ManUtd
#Ajalisasabasi
#BiasharaMtandaoni
#DigitalMarketing
ID: 1042358946600636416
19-09-2018 10:25:13
5,5K Tweet
425 Followers
878 Following
Kwa kutumia teknolojia, tunaweza kujenga jamii jumuishi ambapo kila mtu anapata taarifa sahihi kwa wakati na kwa usahihi. US Embassy Tanzania #USTZTech
Hofu iliyopo miongoni mwa taasisi za serikali katika kufanya kazi na vyombo vya habari hasa katika habari za kiuchunguzi ni chanzo kinachopelekea kukosekana kwa taarifa sahihi na muhimu kwa maendeleo mapama ya jamii. Annastazia Rugaba-Marondo - Twaweza - ni sisi #SautiZaWaandishi
"Sekta ya Uziduaji inabeba maono ya dhamana ya kukuza Pato la Taifa, wakati huo huo kuongeza kwendana na Mabadiliko ya Kidunia" Mhe. Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu. #JukwaalaUziduaji2024 #SustainableEnergyTz HakiRasilimali