Upendo Abisai (@pendolovey) 's Twitter Profile
Upendo Abisai

@pendolovey

STUDENT,WIFE,MOTHER,PASSIONATE IN COMMUNITY WORK,YOUTH,ACTIVIST,SISTER,FRIEND ,MEMBER OF YOUTH FOR CHANGE TANZANIA PANEL,OPTIMISTIC.

ID: 3376781049

calendar_today15-07-2015 03:37:31

1,1K Tweet

529 Followers

325 Following

Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

#16Days #siku16ZakupingaUkatiliWakijinsia Foundation for Civil Society imedhamiria kukomesha mifumo yote ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kwa kutoa ruzuku kwa asasi mbalimbali nchini zinazotekeleza miradi inayopinga Mila Potofu na miradi ya Haki ya Wanawake Kumiliki Ardhi na Mali

#16Days
#siku16ZakupingaUkatiliWakijinsia
Foundation for Civil Society imedhamiria kukomesha mifumo yote ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake na wasichana kwa kutoa ruzuku kwa asasi mbalimbali nchini zinazotekeleza  miradi inayopinga Mila Potofu na miradi ya Haki ya Wanawake Kumiliki Ardhi na Mali
Foundation for Civil Society (@fcstz) 's Twitter Profile Photo

Miradi tunayofadhili ya kupinga MILA POTOFU imejikita katika kusaidia kuhamasisha wana jamii na serikali za mitaa na vitongoji kuweza kuhamasisha upatikanaji wa haki za wanawake na watoto wa kike kwa ustawi wa jamii endelevu.

Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke Kiongozi katika sekta yoyote ni muhimu sana kujitengea muda na kuwa na desturi ya usomaji na ufuatiliaji wa program mbalimbali zinazolenga kuinua Wanawake Wanawake wanapiga hatua, haswa wakisimamia ajenda zao kikamilifu womendeliver.org/womensleadersh… #ElimikaWikiendi

Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Ni vema kuendelea kujifunza kupitia Wanawake waliopiga hatua katika nyanja mbalimbali haswa za Kiuongozi Na ni vema wao kuwa na utayari wa kuelezea Safari zao, mapito yao, changamoto na mafanikio yao ili kuhamasisha kizazi kijacho #ElimikaWikiendi

Victoria C Mwanziva (@victoriacharlz) 's Twitter Profile Photo

Duniani kumekuwa na Taasisi kadha wa kadha za kuinua Wanawake- na kuwaunga mkono kwenye michakato yao mbalimbali Ni vema Taasisi zetu za Wanawake Tanzania zikiendelea kutengeneza Ubia na Ushirika na Taasisi hizi ili kushirikiana nao en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_w… #ElimikaWikiendi

Tajiel Urioh (@tajiel_urioh) 's Twitter Profile Photo

Kama wewe ni Mwanafunzi na unapenda kusoma na wenzako (kikundi soma). Mkiwa mnakutana kwa ajili ya majadiliano (discussions) beba extension cable kwenye bag. Mara nyingi wahitaji wa kutumia umeme ni wengi kuliko idadi ya socket. 😊 Chukua point 3️⃣ hizo #TajTips #Vimbeta #Tips

#EAPhilanthropyNetwork (@eaphilanthropy) 's Twitter Profile Photo

We join our partner Dr Reginald Mengi Foundation in honouring their founder Reginald Mengi whose acts of selflessness and service to humanity continue to make a stamp in supporting the lives of the people of Tanzania.

Sekela Yona (@sekelayona_) 's Twitter Profile Photo

Vijana ndio nguzo ya mabadiliko katika jamii. Kutana na vijana ambao wamejitolea kusambaza taarifa sahihi kuhusu janga la Covid19 #Covid19ChampionsTz tag Femina tag UNICEF tag na wengine uwapendao

Vijana ndio nguzo ya mabadiliko katika jamii. Kutana na vijana ambao wamejitolea kusambaza taarifa sahihi kuhusu janga la Covid19 #Covid19ChampionsTz tag Femina tag UNICEF tag na wengine uwapendao
Given Edward (@givenality) 's Twitter Profile Photo

Kuona mtu kama Bezzos ametumia miaka 25 kufocus kwenye kukiboresha kitu kimoja over and over bila kukata tamaa. It’s inspiring. Kwenye kipindi nilichofanya na Mkasi 2015 nakumbuka I said “you get what you work for, not what you desire”. I still believe this.

Upendo Abisai (@pendolovey) 's Twitter Profile Photo

Je una birthday,anniversary,graduation,baby shower n.k je unahitaji Mapambo mbalmbal ya nyumban na ofisini 🌸@Nahlovepetals ndio jibu la maswali yako.📞0719616122✅tuffolow instagram kuona kazi zetu🙏.#TwitterGulio

Kwa mahitaji ya toys za watoto ✅@nahlovepetals ni suluhisho 📞0719616122🙏bila kusahau kutembelea ukurasa wao wa instagram 🙏.#TwitterGulio

Kwa mahitaji ya toys za watoto ✅@nahlovepetals ni suluhisho 📞0719616122🙏bila kusahau kutembelea ukurasa wao wa instagram 🙏.#TwitterGulio
Petrider Paul (@petriderpaul) 's Twitter Profile Photo

Ofisi ya Makamu wa Rais inatangaza mashindano ya uandishi 📝 wa Insha kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira Mahindano haya yapo wazi kwa ; 🥇Shule za msingi, 🥈Shule za Sekondari 🥉Vyuo vya Elimu ya Juu Masharti na vigezo kuzingatiwa👇

Ofisi ya Makamu wa Rais inatangaza mashindano ya uandishi 📝 wa Insha kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

Mahindano haya yapo wazi kwa ;
🥇Shule za msingi,
🥈Shule za Sekondari
🥉Vyuo vya Elimu ya Juu

Masharti na vigezo kuzingatiwa👇
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

Wanafunzi wa UDSM ambao Mwalimu alikuwa anawaalika nyumbani kwake ili kujadili naye,walikuwa huru kumuuliza mambo mbali mbali.Aliwapongeza kwa kazi kubwa waliokuwa wanaifanya kwa jamii na kufundisha watu kusoma.Pia aliwajulisha kuhusu historia na mambo ya kimataifa

Wanafunzi wa UDSM ambao Mwalimu alikuwa anawaalika nyumbani kwake ili kujadili naye,walikuwa huru kumuuliza mambo mbali mbali.Aliwapongeza kwa kazi kubwa waliokuwa wanaifanya kwa jamii na kufundisha watu kusoma.Pia aliwajulisha kuhusu historia na mambo ya kimataifa
Sekela Yona (@sekelayona_) 's Twitter Profile Photo

Kijana, tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya corona kwa kufuata maelekezo ya Wizara ya Afya. Tuzuie maambukizi. #Covid19ChampionsTz Femina Hip UNICEF Tanzania

Kijana, tuendelee kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya corona kwa kufuata maelekezo ya Wizara ya Afya. Tuzuie maambukizi. #Covid19ChampionsTz

Femina Hip UNICEF Tanzania
Masharikan 🌎 (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Maegesho ya gari nyumbani Maeneo mengi yanayopendwa mijini viwanja ni gharama sana. Na wengi hawapendi kwenda mbali nje ya mji. Ndio maana parking ya gari huwa inafinyiwa ndani ya plan ya nyumba Garage Smart space use for home parking Photo courtesy

Maegesho ya gari nyumbani
Maeneo mengi yanayopendwa mijini viwanja ni gharama sana. Na wengi hawapendi kwenda mbali nje ya mji. Ndio maana parking ya gari huwa inafinyiwa ndani ya plan ya nyumba

Garage
Smart space use for home parking

Photo courtesy
Southern Africa Youth Forum (SAYoF) (@sayof_official) 's Twitter Profile Photo

#SADCYOUTH ANNOUNCEMENT: Young people in SADC, @SAYoF_SADC will soon announce A CALL FOR COMMITTEE MEMBERS to plan and coordinate the upcoming 2nd SADC Youth Parliament &SADC Youth Forum to be held in August 2020. Watch this space! #SADCYOUTH Petrider Paul Armel sylva 🇰🇲 Farhan Yusuf

#SADCYOUTH ANNOUNCEMENT:

Young people in SADC, @SAYoF_SADC will soon announce A CALL FOR COMMITTEE MEMBERS to plan and coordinate the upcoming 2nd SADC Youth Parliament &SADC Youth Forum to be held in August 2020. Watch this space! #SADCYOUTH Petrider Paul Armel sylva 🇰🇲 Farhan Yusuf
Governance, Peace & Security Cluster @SAYoF_SADC (@sayof_peace) 's Twitter Profile Photo

Today @SAYoF_SADC feature Trainees/ SADC Peace Advocates; first Cohort Training in Peacebuilding with KAICIID under our project #SadcYouth4Peace today Its Mamohau Thetsane from Lesotho #SADCYOUTH

Today @SAYoF_SADC  feature  Trainees/ SADC Peace Advocates; first Cohort Training in Peacebuilding with KAICIID under our project  #SadcYouth4Peace today Its  Mamohau Thetsane from Lesotho #SADCYOUTH
Masharikan 🌎 (@adambrv) 's Twitter Profile Photo

Maziwa Makuu Tukumbushane. Tanzania ina milki ya % kubwa ya Maziwa Makubwa matatu ya Afrika - Victoria, Tanganyika & Nyasa Hii ni: .robo ya maji fresh yasiyoganda yote duniani .10% ya samaki wote duniani Tanzania ni nchi ya kipekee kwa rasilimali. Mno!

Maziwa Makuu
Tukumbushane. Tanzania ina milki ya % kubwa ya Maziwa Makubwa matatu ya Afrika - Victoria, Tanganyika & Nyasa
Hii ni:
.robo ya maji fresh yasiyoganda yote duniani
.10% ya samaki wote duniani

Tanzania ni nchi ya kipekee kwa rasilimali. Mno!