Masai wa mjini ⚙️ (@peaceboytz) 's Twitter Profile
Masai wa mjini ⚙️

@peaceboytz

proudly Kaskazini 🇹🇿
| Young African Sc💪💚💛 🏆 |I love my Family|Daddy Christian & Angel.
Mwananchi🔰

ID: 899974544

linkhttp://www.fanyaYako.com calendar_today23-10-2012 14:18:08

13,13K Tweet

895 Followers

299 Following

Daudi T. Balali (@daudibalali) 's Twitter Profile Photo

Magufuli atashinda kwa zaidi ya 80%. Lissu atasaidia kuijenga upya CHADEMA lakini itatokea mifarakano ya kimaslahi. Mwinyi atashinda Zanzibar, CCM na ACT wataunda GNU iwapo ACT hawatasusa. ACT Bara itasinyaa. CUF & NCCR wamefika mwisho. 2025 utakuwa uchaguzi usiotabirika kwa CCM.

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

Acheni kuumizwa na matendo ya Spika Job Ndugai , Mungu anatarajia kutenda muujiza hivi karibuni kwake ,asiwachoshe kabisa ,kwani imeandikwa...Mithali 16:5 MUNGU huwachukia sana wote wenye kiburi cha moyo. Uwe na hakika kwa hili: Hawataepuka kuadhibiwa.

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hawalali, hatulali Ili wewe ulale salama Uzi👇 UPENDO WA MSHUMAA 𝗝𝗮𝗻 𝟮𝟱, 𝟮𝟬𝟭𝟳 𝗞𝗶𝗷𝗶𝘁𝗼𝗻𝘆𝗮𝗺𝗮, 𝗞𝗶𝘀𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶 𝗗𝗮𝗿 𝗘𝘀 𝗦𝗮𝗹𝗮𝗮𝗺 Lilianza kama tukio la soga baina ya wanandoa. Mke: "Mume wangu kuna jambo halieleweki hapa mtaani." Mume: "Lipi"?

Hawalali, hatulali

Ili wewe ulale salama

Uzi👇

UPENDO WA MSHUMAA

𝗝𝗮𝗻 𝟮𝟱, 𝟮𝟬𝟭𝟳

𝗞𝗶𝗷𝗶𝘁𝗼𝗻𝘆𝗮𝗺𝗮, 𝗞𝗶𝘀𝗶𝘄𝗮𝗻𝗶

𝗗𝗮𝗿 𝗘𝘀 𝗦𝗮𝗹𝗮𝗮𝗺

Lilianza kama tukio la soga baina ya wanandoa.

Mke: "Mume wangu kuna jambo halieleweki hapa mtaani."

Mume: "Lipi"?
African Hub (@africanhub_) 's Twitter Profile Photo

Police in Kenya 🇰🇪 are looking for a man who removed one side of a Police Station's gate and later sold it as scrap metal

Police in Kenya 🇰🇪 are looking for a man who removed one side of a Police Station's gate and later sold it as scrap metal
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Kila aliye gombea uraisi kupitia Act wazalendo lazima aende mbele ya HAKI. 1. Anna Mngirwa R.I.P 2.Benard Membe R.I.P 3. Malimu Seif R.I.P 4.Luagha Mpina Loading 🤔🤔🤔 Kwann Semu kajitoa? Kwann Zitto MwamiRuyagwa Kabwe huwa hagombie Urais?? Cc J A Y E L E C T R O N I C A

Godbless E.J. Lema (@godbless_lema) 's Twitter Profile Photo

*“Chadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafu”* *“Mimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa

*“Chadema haitakiwi kuwa na viongozi wenye ndimi mbili huku wanatema moto huku wanatema barafu”*

*“Mimi nafaa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa wakati huu kwasababu msimamo wangu ni thabiti na wakuaminika, ninafaa kuwa kiongozi wa CHADEMA kwasababu nina uadilifu usiotiliwa
John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

ANAANDIKA JOHN PAMBALU Katika kipindi cha miezi miwili sasa nimekuwa kwenye pressure kubwa ya kushawishiwa kugombea ubunge jimbo la Nyamagana bila mabadiliko (Reforms) tunazozipigania. Ilianza kwa kupigiwa simu na mmoja kati ya watu wangu wa karibu Mwanza, baadaye Mwenezi wa

ANAANDIKA JOHN PAMBALU

Katika kipindi cha miezi miwili sasa nimekuwa kwenye pressure kubwa ya kushawishiwa kugombea ubunge jimbo la Nyamagana bila mabadiliko (Reforms) tunazozipigania. 

Ilianza kwa kupigiwa simu na mmoja kati ya watu wangu wa karibu Mwanza, baadaye Mwenezi wa
Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Amekuwa jela kwa siku 118. Lakini amejiandaa kufundisha sheria. Na kuonesha akili ndogo za serikali. Na kwamba yeye si mhalifu. Leo Hakimu na Mawakili wa dola wanalala na viatu. Huyu ndiye mwalimu wetu, kaka yetu, ndugu yetu, mwenyekiti wetu, SC Tundu AM Lissu.

Amekuwa jela kwa siku 118. Lakini amejiandaa kufundisha sheria. Na kuonesha akili ndogo za serikali. Na kwamba yeye si mhalifu. Leo Hakimu na Mawakili wa dola wanalala na viatu. Huyu ndiye mwalimu wetu, kaka yetu, ndugu yetu, mwenyekiti wetu, SC Tundu AM Lissu.
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Hakimu Kiswaga: Tafadhali ishia hapo na usimtaje rais Lissu: Nina maelezo ya zaidi ya kurasa 140 na ndio kwanza nipo ukurasa wa 70. Vumilia nisome... Ni wajibu wako tu kuandika na sio kunielekeza cha kufanya Hakimu Kiswaga: Hii ni committal court.. Hayo mengine nenda nayo High

Hakimu Kiswaga: Tafadhali ishia hapo na usimtaje rais

Lissu: Nina maelezo ya zaidi ya kurasa 140 na ndio kwanza nipo ukurasa wa 70. Vumilia nisome... Ni wajibu wako tu kuandika na sio kunielekeza cha kufanya

Hakimu Kiswaga: Hii ni committal court.. Hayo mengine nenda nayo High