#Personal Contact
@pcontact5
ID: 834146093856342016
21-02-2017 21:01:41
130 Tweet
97 Followers
629 Following
3. Juhudi za pamoja zinahitajika kukuza fursa za ajira na kuajiri kwa vijana 4. Mazingira wezeshi ya kisera na kisheria yanahitajika 5. Elimu ya Ujasiriamali inahitajika zaidi. #KaziBoraKwaVijana Actionaid Tanzania
This is pretty magic Place,Kitulo National Park #Unforgettable January Makamba kigwangalla_fan_page tanapa utaliisafari utalii_mag utaliisafari utalii_wa_ndani_na_nje_ya_nchi nyumbaniutalii utalii_college_tz instagram.com/p/BzIcYqeJrRK/…
Imeelezwa watu wanaoendesha baiskeli wapo katika kundi la usalama zaidi kutopata ajali kwa kiwango kikubwa ambapo ni asilimia 4% tu ndiyo hupata ajali. #ajalisasabasi Kangilugola Safiri Salama Tanya Russell
Watuamiaji wa Barabara kuu kutoka Dar es salam-Mbeya wakumbwa na bumbuwazi baada ya kukwama njiani kwa muda wa zaidi ya saa moja na nusu kutokana ajali ilihusisha magari mawili ya mizigo kugongana na kuwaka na kuteketea kwa moto Safiri Salama #ajalisasabasi Tanzania Media Women UN Road Safety
Imeelezwa kutozingatia Alama za Barabarani ni miongoni mwa sababu zinazochangia ajali za barabarani.Je sheria zinasimamiwa ipasavyo? #ajalisasabasi Tanzania Media Women Safiri Salama World Health Organization (WHO) trafficsafety.org
Habari za muda huu mdau wetu. Karibu jukwani tujuzane Unafahamu nini kuhusu matumizi ya alama na michoro ya barabarani? Mimi ni Assenga Magari Tz🦁 kutoka #Ajalisasabasi kampeni. Karibu #ElimikaWikiendi tushirikishane machache kuhusu mada ya leo.
Baadhi ya madereva wa Pikipiki maarufu Bodaboda bado hawajui aina ya Kofia ngumu na Matumizi yake jambo linalopelekea watu wengi kupoteza maisha pindi inapotokea ajali #ajalisasabasi Safiri Salama Tanzania Media Women RoSPA Road Safety trafficsafety.org World Health Organization (WHO) RoadSafetyBC Road Safety Alliance
Wajibu wa Kwanza kuzuia Ajali ni wetu wananchi Paza sauti unapoona dereva anavunja sheria. #ajalisasabasi Safiri Salama Tanzania Media Women trafficsafety.org Police Force TZ Global Road Safety Partnership