Paulmaker's (@paulmaker17) 's Twitter Profile
Paulmaker's

@paulmaker17

ID: 1400472821684490241

calendar_today03-06-2021 15:22:38

121 Tweet

113 Followers

719 Following

Mkomonisti Wa Twita (@mkomonisti) 's Twitter Profile Photo

KUTOKA MAKTABA ๐Ÿ“š Pichani ni rapa wa Marekani anayejulikana kwa jina la "Tupac Amaru Shakur" ama unaweza mwita "Tupac Shakur" pia unamwita "2Pac" ama "Makaveli". Alizaliwa 16 June 1971 East Harlem nchini Marekani katika jiji la New York na kufa 13 Sept 1996. ๐Ÿ‘‰๐ŸผLakini ukweli ๐Ÿ‘‡

KUTOKA MAKTABA ๐Ÿ“š

Pichani ni rapa wa Marekani anayejulikana kwa jina la "Tupac Amaru Shakur" ama unaweza mwita "Tupac Shakur" pia unamwita "2Pac" ama "Makaveli". Alizaliwa 16 June 1971 East Harlem nchini Marekani katika jiji la New York na kufa 13 Sept 1996.

๐Ÿ‘‰๐ŸผLakini ukweli ๐Ÿ‘‡
Forever (@imustforever) 's Twitter Profile Photo

Hello! Na karibu. Ni siku nyingine tena ambapo nimekuandalia Uzi kuhusu sakata zima la TUPAC SHAKUR. โ–ซ๏ธ Swali la msingi ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Tupac yu hai au ni kweli aliuwawa ile September 13 ๐Ÿค”? ๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kama aliuwawa ni nani alihusika na kama yu hai yupo wapi ๐Ÿค”? โ–ซ๏ธ#Thread Twenzao

Hello! Na karibu.

Ni siku nyingine tena ambapo nimekuandalia Uzi kuhusu sakata zima la TUPAC SHAKUR.

โ–ซ๏ธ Swali la msingi

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Tupac yu hai au ni kweli aliuwawa ile September 13 ๐Ÿค”?

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kama aliuwawa ni nani alihusika na kama yu hai yupo wapi ๐Ÿค”?

โ–ซ๏ธ#Thread Twenzao
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

โ€œKama nina nguvu ya kutafuta, siwezi ita mtu Tajiri. Utajiri sio kipaji ni kazi, Nguvu na Akili. Tatizo mkipata pesa mnapoteza marafiki, halafu mnapata wapambe ambao hautakua nao kwenye dhiki.โ€ Stamina

โ€œKama nina nguvu ya kutafuta, siwezi ita mtu Tajiri. Utajiri sio kipaji ni kazi, Nguvu na Akili. Tatizo mkipata pesa mnapoteza marafiki, halafu mnapata wapambe ambao hautakua nao kwenye dhiki.โ€ Stamina
2pacunlimited ๐“ƒฎ (@2pacunlimited) 's Twitter Profile Photo

On this day in 1997 Gridlock'd was released in theaters. 2Pac starred as Ezekiel "Spoon" Whitmore. What did you think of this movie Tupac fans?