Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile
Patrick Pastory

@patrickpastory9

fitness programs

ID: 1399114721169752064

calendar_today30-05-2021 21:26:29

119 Tweet

70 Followers

545 Following

Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile Photo

DOWNLOAD YOUR FREE WEIGHT LOSS TUTORIAL BOOK,LEARN HOW TO LOSS WEIGHT FOR FREE,WITHOUT PAIN,MORE EXERCISE,GIVING UP THE FOOD YOU LOVE! click this link to download your free book . successful-producer-3570.ck.page/03d83e5183 via ConvertKit (archive)

GADDAFI JR🫧 (@babawabaraza) 's Twitter Profile Photo

Walioko kwenye sekta ya #MafutaNaGesi #Jiolojia kwa kushirikiana na #WadauWaMazingira naomba muandae #Space kwa ajili ya kujadili masuala mazima ya huu mpango wa #GlasgowCop26

Walioko kwenye sekta ya #MafutaNaGesi #Jiolojia kwa kushirikiana na #WadauWaMazingira naomba muandae #Space kwa ajili ya kujadili masuala mazima ya huu mpango wa #GlasgowCop26
Madenge (@rollymsouth) 's Twitter Profile Photo

Wamama wa kiafrica raha sana,dogo kajimwagia soda hapa hospital kawashwa kofi huku anaambiwa namwambia daktari akuchome sindano tano kwenye hili bichwa lako🤣🤣🤣

Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile Photo

Mwenge Catholic University, (MWECAU) & CRDB Bank & HESLB & Tanzanians' government,, itafika kipindi tutachoka mnayotufanyia,, kuanzia kutucheleweshea hela zetu mpaka leo, bado mmetukata ADA, na bado waliosainI kwa mfumo wa biometric pesa zao hazijaingia kwenye account, !!!!

Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile Photo

MIFUMO yenu ni mibovu mno kuanzia Finance mpaka kwenye contents, na bado mnajikuta mpo kwenye ulimengu wa kwenu tu hakuna atakae wajaji,, nawatahadharisha!! kama hamtajirekebisha, MWISHO WENU UNAKUJA, na natamani BABA anyanyuke aone mateso wanayopitia wanachuo

Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile Photo

MIFUMO yenu ni mibovu mno kuanzia Finance mpaka kwenye contents, na bado mnajikuta mpo kwenye ulimengu wa kwenu tu hakuna atakae wajaji,, nawatahadharisha!! kama hamtajirekebisha, MWISHO WENU UNAKUJA, na natamani BABA anyanyuke aone mateso tunayopitia

Patrick Pastory (@patrickpastory9) 's Twitter Profile Photo

SO SAD!!! Mnachelewesha pesa na bado inakuja imekatwa, haitoshi usajili ni karibu robo tatu 3/4 ya pesa inayobaki bado tu huwezi fanya registration bila kulipia bima (50,000) kodi inakusubiri plus faini ya kuchelewesha bado tena ulipokopa hela ya usajili kuna riba,, Ee Mungu..