Patrick_Mwarabu (@patrick_mwarab) 's Twitter Profile
Patrick_Mwarabu

@patrick_mwarab

committed to Christ

ID: 1674037946947715075

linkhttp://Instagram.com/mwarabu_furnitures_mwanza calendar_today28-06-2023 12:52:27

1,1K Tweet

708 Followers

4,4K Following

John Heche (@hechejohn) 's Twitter Profile Photo

Siku Mwenyekiti wetu aliposema haya, ndio siku aliyokamatwa na kubambikiwa kesi ya uongo ya uhaini.. Leo ana siku 138 ndani kwa kutetea utajiri wa Nchi yetu unaotekwa na wahuni wachache.. Vijana wa Tanzania mna wajibu wa kufanya. #NoReformsNoElection

𝐉𝐚𝐬𝐮𝐬𝐢 (@chahali) 's Twitter Profile Photo

Ukweli mchungu ni kwamba umma umemwangusha Lissu. Lakini hilo sio la kushangaza kwani from Ben Saanane to Diwani Lwena to Soka to Mdude, story has been the same. Unfortunately hii inawapa moyo watesi kwa sababu wanajua hata wakifanya baya gani, umma utaishia kupiga kelele tu 😢

GreaterThinker💎 (@hopequotes__) 's Twitter Profile Photo

Tuhuma Nziito Kabisaa alizo-ziibua Mange Kimambi usiku wa Jana, kuhusu Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Kupewa Gari ya Bilioni kadhaa kama asante ilitakiwa kuwepo na Mjadala wa Kitaifa Kuhoji Why!? ni Bahati Mbaya sanaa tunalo taifa la Vichaa na MAITI wakipewa Baiskeli Wanasahau..

Tito Magoti (@titomagoti) 's Twitter Profile Photo

Tundu Lissu is a patriotic son of our land. He has shown us the way. He has given us courage. He has reaffirmed our collective demands for electoral justice. His fight is our fight. We are Tundu Lissu. #IamTunduLissu

Tundu Lissu is a patriotic son of our land.

He has shown us the way.

He has given us courage. 

He has reaffirmed our collective demands for electoral justice.

His fight is our fight.

We are Tundu Lissu.

#IamTunduLissu
Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Idara ya uhamiaji Uhamiaji Tanzania mmelala usingizi? Kwa nini hamjiulizi kwa nini raia huyu wa Afrika kusini Mr. Teunis Van Buuren hawezi kusajili namba ya simu wala akaunti ya benki kwa jina lake binafsi? Machale hayawachezi kwa detail ndogo kama hii? Idara yenu inaruhusu raia wa

Idara ya uhamiaji <a href="/UhamiajiTz/">Uhamiaji Tanzania</a> mmelala usingizi?

Kwa nini hamjiulizi kwa nini raia huyu wa Afrika kusini Mr. Teunis Van Buuren hawezi kusajili namba ya simu wala akaunti ya benki kwa jina lake binafsi?

Machale hayawachezi kwa detail ndogo kama hii?

Idara yenu inaruhusu raia wa
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Umri Huu Huna MKE, Huna MTOTO Huna Hata GIRLFRIEND Muda Mwingi Upo Karibu Na Wanaume Wenye PESA Ukiwa KENYA Ulikua Na ALI JOHO Now Upo Na GSM Mbaya Zaidi Umelegea Kama BAMIA Lililoiva. Mavazi Unavaa Ya KIKE Mdomo Mpana Kama Wa ANKOT Unawaweka Wazazi Wako Kwenye Wakati Mgumu Sana.

Umri Huu Huna MKE, Huna MTOTO Huna Hata GIRLFRIEND Muda Mwingi Upo Karibu Na Wanaume Wenye PESA Ukiwa KENYA Ulikua Na ALI JOHO Now Upo Na GSM Mbaya Zaidi Umelegea Kama BAMIA Lililoiva. Mavazi Unavaa Ya KIKE Mdomo Mpana Kama Wa ANKOT Unawaweka Wazazi Wako Kwenye Wakati Mgumu Sana.
BBC News Africa (@bbcafrica) 's Twitter Profile Photo

People who criticize the state are disappearing in Tanzania. The BBC has spoken to some of the families who are left with no answers and no hopes. bbc.in/4ncaSsu

International Democracy Union (@idualliance) 's Twitter Profile Photo

Today marks 150 days of unjust imprisonment for Tundu Antiphas Lissu, Executive Vice Chair of IDU & Leader of Chadema Tanzania, jailed on fabricated treason charges for demanding reforms. His trial begins Sept 8. As we approach the 8th anniversary of the attempt on his life, we call on the

Today marks 150 days of unjust imprisonment for <a href="/TunduALissu/">Tundu Antiphas Lissu</a>, Executive Vice Chair of IDU &amp; Leader of <a href="/ChademaTZ2/">Chadema Tanzania</a>, jailed on fabricated treason charges for demanding reforms. His trial begins Sept 8. As we approach the 8th anniversary of the attempt on his life, we call on the
Ayubu Madenge (@ayubu_madenge) 's Twitter Profile Photo

“Mimi sikudhani kuwa jitihada zote hizi nilizozifanya nia yake ilikuwa ni kujenga taifa la watu WAOGA sana, haikuwa nia yangu hiyo. Kama matokeo yake ni hayo, mimi nasema mwenyezi MUNGU nisamehe”Mwalimu JK Nyerere

“Mimi sikudhani kuwa  jitihada zote hizi nilizozifanya nia yake ilikuwa ni kujenga taifa la watu WAOGA sana, haikuwa nia yangu hiyo. Kama matokeo yake ni hayo, mimi nasema mwenyezi MUNGU nisamehe”Mwalimu JK Nyerere
#TOTTechs (@tottechs) 's Twitter Profile Photo

Kuifungia Jamii Forums, A Tanzanian based social platform siyo kitu kizuri, ni mwendelezo wa Alarm mbaya kwa Tech Investors nchini, Mfano kwa majirani hapo Kenya Microsoft - KENYA Google - KENYA Visa - KENYA Amazon AWS - KENYA IBM-iHUB - KENYA Tunayo kazi kubwa ya kufanya.

davidmcallister (@davidmcallister) 's Twitter Profile Photo

150 days behind bars. 8 years after surviving an assassination attempt. Tundu Lissu still stands for justice and democracy in Tanzania. We call for his immediate release as well as for free and fair elections on 29 October 2025! #FreeTunduLissu

150 days behind bars.

8 years after surviving an assassination attempt.

Tundu Lissu still stands for justice and democracy in Tanzania.

We call for his immediate release as well as for free and fair elections on 29 October 2025!

#FreeTunduLissu