BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile
BIG STEPPA

@pappypriceless

Let’s talk business and self help advice to people who aspire to go from good to great 🧠 | Pharmacist 💊| Bookaholic 📚

ID: 1264833545392082944

calendar_today25-05-2020 08:20:21

2,2K Tweet

172 Followers

637 Following

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Tafuta sana pesa hakuna namna yoyote mwanaume utapata heshima kwenye jamii Kama huna pesa. Hakikisha mfuko unakaa sawa, hakuna substitute ya hili swala. Get busy get money bro.

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Unataka Kutengeneza Bidhaa au Huduma Ambayo Utakuwa na Uhakika wa Kuuza... …lakini hujui wapi pa kuanzia. Basi tafuta kitabu cha Alex Osterwalder kinaitwa — VALUE PROPOSITION DESIGN Utajifunza vitu vingi sana. Ni bonge moja la kitabu — Highly recommended!

Benix Matrix (@benixmatrix) 's Twitter Profile Photo

Kama Unataka Kujifunza Marketing Lakini… …hujui ni wapi pa kuanzia. Basi tafuta kitabu cha Seth Godin kinaitwa—THIS IS MARKETING! Ni bonge moja la kitabu, nina uhakika utajifunza vitu vya msingi sana—Highly recommended!

WHYMYCATISSAD (@influencerjr) 's Twitter Profile Photo

Ukweli ambao hauwezi kuambiwa popote ni kwamba kujiajiri ni kugumu mno bora kuajiriwa maana kwenye kujiajiri hakuna kutegea, hakuna mtu wa kumtupia lawama, hakuna wa kumuomba likizo ni mapambano mwanzo mwisho. Kama moyo wako ni mdogo bora utafute sehemu uajiriwe tu yaishe

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Revocatus Millambo, Ph.D. Nothing worthwhile comes easy, ni lazima uvuje jasho. Hakikisha unapambana kwa kila namna. We’re not here to play games we’re here to make a difference.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Kama leo yako sio nzuri na huoni dalili yoyote ya kufika unapotaka kwenda, usikate tamaa. Maisha sio rahisi, ni lazima upitie kipindi kigumu, kukataliwa, kupoteza mali, msongo wa mawazo nk, lakini njia pekee ya kushinda ni kuendelea na mapambano. Usikate tamaa.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Tatizo ni kwamba kila mtu anadhani atafanikiwa maishani. Uhalisia mchungu ni kuwa haiwezekani kabisa wote tukatajirika. Nature ndio ilivyo!

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

ProsperNow. Kabla ya kuoa, hakikisha uko vizuri kifedha. Hakuna mtu atakusaidia kulea familia yako. Haijalishi itachukua muda gani wewe kuoa, usifanye makosa yakujitakia. Kama huna kipato cha kuaminika usitende iyo dhambi ya kumtesa mama na mtoto wako.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Babuu | Hisa Simply don’t save, invest. Pesa inabidi ikue kadri muda unavyo kwenda, usiweke pesa bank, mixx by yas, airtel money nk. Tafuta kitu cha kufanya, nunua asset. Make sure you don’t earn to save, earn to invest.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

@raphyrodrick Hii imeenda. Unaweza ukahisi watu ni freemason au wachawi kumbe ni akili tu kichwani. Tafuta wazo lako la biashara zuri weka pesa, wekeza muda, vitu vitajipa tu. Usikate tamaa. You’re your choices. Make good choices for your tomorrow.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Khoisan Be a trader, invest your spair time acquiring knowledge consistently. Hii biashara angalizo kubwa liko kwenye level yako ya ku-deal na hisia (emotional intelligence). Mtaji ni PC na bando. Be a learner, jipe time, start small, it pays.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Revocatus Millambo, Ph.D. Kila mtu anauza kitu, whether you know it or not na ili uwe bora zaidi ni lazima uwe exceptional. Kama huna huduma au bidhaa, jua unajiuza mwenyewe, be a good conversationalist, dress well and put yourself out there. All successful people are good salesmen, sell or be sold.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

P'site Shio Business is not a joke, inahitaji msingi mzuri wa maarifa na akili. Anza kufanya taratibu kabla hujaacha kazi yako rasmi. Online skills zinalipa ukiwekeza muda, piga miguu yote. Online business plus physical business but don’t quit your job when you ain’t ready for the show.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

The Top P🇹🇿 SIR JEFF⚡🇹🇿 Rare creatures God blessed us with, Jeff is on the list. Inabidi tuheshimu jitihada na mafanikio ya watu. Jamaa kapiga hatua sana pia ni role model wa watu wengi, japo watu hawatatoka hadharani na kusema hiki kitu, but he’s smart indeed. Apewe maua yake mapema.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

Trojan Horse 🎭 Tajiri atafanya kila awezalo kukupa mshahara wa chini ili asikufaidishe, atachukua muda wako mwingi ili usifanye mishe zako nyingine. Kama umeajiliwa, you must’ve plans to quit & work for yourself, hili linabidi liwe lengo mama. Fikiri kuhusu side hustle na biashara mapema.

BIG STEPPA (@pappypriceless) 's Twitter Profile Photo

The mandevu Challenges za biashara haziepukiki, lipa mzee mandevu endelea na kazi. Mwanaume bila majaribu hajakamilika, hata yesu alijaribiwa mara nyingi sana.

Mr. LOWBUDGET (@the_pr0f3s0r) 's Twitter Profile Photo

Wengi mtabisha ila ukweli ni kwamba capital sio hela. Capital imetokana na neno la kilatini “Capitalis” linalomaanisha “of the head”. Yani knowledge iliopo kichwani. Vichwa maji mtaleta jokes za nenda dukani kanunue iphone na knowledge bila kuelewa kuwa hoja yangu ni hii: