Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile
Pallaiga,A

@pallaigaa

Human Rights activists, Former Chairperson of CHADEMA youth wing Iringa Region, Secretary of CHADEMA Training Committee Nyasa Zone.

ID: 1275631758239825920

calendar_today24-06-2020 03:29:11

1,1K Tweet

6,6K Takipçi

3,3K Takip Edilen

Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Kwa Muswada huu wa Usalama wa Taifa Mashushushu wanaweza hata kumfungia rais kwenye mojawapo ya vyumba vya ikulu ya Chamwino au Magogoni, wakam-starve kisha wakachukua madaraka yake na kuwaeleza raia kuwa rais hajulikani halipo na wasifanywe kitu au kuwajibishwa na sheria yoyote.

Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Mwisho wa siku tunahitaji Katiba Mpya. Imagine Bandari inauzwa na hatuwezi kumshitaki huyo Rais Mahakamani.haya sio Matendo ya mtu mwenye dhamira ya kuipa Nchi katiba Mpya.TUKOMAE.

Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Aisee wananchi wa Kenya sio mchezo. Wameandamana kupinga mswada uliokua upitishwe Bungeni leo hadi Serikali imekubali!! Nguvu ya Umma.

Aisee wananchi wa Kenya sio mchezo. Wameandamana kupinga mswada uliokua upitishwe Bungeni leo hadi Serikali imekubali!!
Nguvu ya Umma.
Rose Mayemba (@rose_mayemba) 's Twitter Profile Photo

Miaka 13 iliyopita,Hii ni Ofisi ya Chadema Kata ya Ng'ang'ange Wilaya ya Kilolo.Nakumbuka tulikuwa kwenye Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Diwani.Hawa watoto kama walibahatika kuendelea na masomo, mmoja atakuwa ameshahitimu kidato cha 6 na mwingine atakuwa ameshahitimu kidato cha 4.

Miaka 13 iliyopita,Hii ni Ofisi ya Chadema Kata ya Ng'ang'ange Wilaya ya Kilolo.Nakumbuka tulikuwa kwenye Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Diwani.Hawa watoto kama walibahatika kuendelea na masomo, mmoja atakuwa ameshahitimu  kidato cha 6 na mwingine atakuwa ameshahitimu kidato cha 4.
Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Generation z have refused the Financial bill 🏌🏽‍♂️Pisi za Kenya conscious sana, Pisi za bongo zingekuwa zinaingia barabarani namna hii hakuna Rangi chama cha figiri na Mbogamboga kingeacha kuona.

Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Pisi kama hizi zikianza kuandamana zinaweza kuwafanya vijana wakavaa mabomu. Sometimes it takes just a simple psychological weapon to take a down a government.

Mawakili tafadhali mtuletee huyu mtu Irudisheni TLS kwenye mstari wake ili nchi yetu ipate mwanga kwenye utawala wa sheria

Mawakili  tafadhali mtuletee huyu mtu
Irudisheni TLS kwenye mstari wake ili nchi yetu ipate mwanga kwenye utawala wa sheria
Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Everybody is Living on a borrowed Land, Kama unadhani yanayowakuta wamasai Ngorongoro hayakuhusu zamu yako inakuja. Tusipo amka sasa tumekwisha.Maria Sarungi Tsehai

Everybody is Living on a borrowed Land, Kama unadhani yanayowakuta wamasai Ngorongoro hayakuhusu zamu yako inakuja. 

Tusipo amka sasa tumekwisha.<a href="/MariaSTsehai/">Maria Sarungi Tsehai</a>
Pallaiga,A (@pallaigaa) 's Twitter Profile Photo

Colonel Muamar Ghadafi aliita wakosoaji wake Mende na Kunguni akachomolewa kwenye Kalavati huyu mama anatuita Mbwa dhihaka zilezile muda wa kuvumulia hiki kiburi cha watawala haupo muda wa Kuonesha Nguvu ya wananchi ni sasa tuamke

SIMBA, Mungu anaendelea Kufanya Meza Machoni pa watesi wako, Waliotaka kukuangamiza sasa wanaliinua Jina lako, Mungu ni yeye Yule Jana na milele ahadi yake kwa wependa haki ni ya Milele. Huu ndio ukuu wa Mungu maadui wanaongozwa kutamka wasiyokusudia.