SocialSparrow (@optimistic_720) 's Twitter Profile
SocialSparrow

@optimistic_720

Christian | Unshakable Optimistic| Successful | Proudly Tanzanian

ID: 813332377061691393

calendar_today26-12-2016 10:35:24

583 Tweet

149 Takipçi

473 Takip Edilen

Nape Moses Nnauye (@nnauye_nape) 's Twitter Profile Photo

Maisha mazuri ukiwa na furaha, lakini maisha ni mazuri zaidi na yana maana zaidi kama kuishi kwako kuna wafanya watu wengine pia wafurahi! Nawatakia Pasaka njema!

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Mdahalo mzuri Wa wagombea wa nafasi ya urais TLS ndani ya ukumbi wao ukiandaliwa na media pia ya wanasheria Watetezi Tv katika mitandao yao ya kijamii Usikose jumanne saa 14:30-15:30

Mdahalo mzuri

Wa wagombea wa nafasi ya urais TLS ndani ya ukumbi wao ukiandaliwa na media pia ya wanasheria Watetezi Tv katika mitandao yao ya kijamii 

Usikose jumanne saa 14:30-15:30
Mufti Menk (@muftimenk) 's Twitter Profile Photo

The truth is people will talk about you and there’s not much you can do about it. Don’t throw yourself into emotional turmoil when you hear what they’re saying. Remember, the problem is theirs, not yours. If you feel the need to defend yourself against a lie, do it calmly!

SocialSparrow (@optimistic_720) 's Twitter Profile Photo

Akili Hizi Ndo Definetely Ambazo Wazungu Wanataka Tuwe Nazo, Tunatumia Nguvu Nyingi Kutangaza Madhaifu Na Matatizo Yetu Wakati Wenzetu Wanatumia Nguvu Nyingi Kutangaza Mazuri Yao Thats Why Tunaamini Wako Perfect Na Hawana Shida

SocialSparrow (@optimistic_720) 's Twitter Profile Photo

Sometimes It’s Way Much Better Not Having Plan B. “The Best Fights Are Fought By Those Without Plan B” Too Many Options May Become A Distraction 🚨

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

When you say today is independence of Tanzania - you are ignoring the struggle for independence of ZANZIBAR who have a separate history - you are part of the disinformation! So again today is independence day of Tanganyika that later united with independent Zanzibar #Fact

When you say today is independence of Tanzania - you are ignoring the struggle for independence of ZANZIBAR who have a separate history - you are part of the disinformation! 
So again today is independence day of Tanganyika that later united with independent Zanzibar #Fact
Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

There is NO TANZANIA MAINLAND The term was MADE UP by CCM to disguise Tanganyika! The current constitution in 1977 aimed at killing off semi autonomous #Zanzibar and labeled it Tanzania Isles! Zanzibar refused and now have their OWN constitution! Tanganyika exists! #KatibaMpya

There is NO TANZANIA MAINLAND 
The term was MADE UP by CCM to disguise Tanganyika! The current constitution in 1977 aimed at killing off semi autonomous #Zanzibar and labeled it Tanzania Isles! Zanzibar refused and now have their OWN constitution! Tanganyika exists! #KatibaMpya
Baba Mwita (@babamwita) 's Twitter Profile Photo

Dubai ni JANGWA lenye MAJI CHUMVI. Hakuna Mto wala Ziwa. Wamefunga mitambo kubadili maji chumvi yatumiwe na Binadamu. Hawana KISINGIZIO kwa Mungu. Sisi tuna Victoria, Tanganyika, Nyasa na vyanzo vingi tu. Bila aibu, Viongozi wa Serikali & Dini wanasema TUFANYE MAOMBI maji yaje!

Karun Pal (@karunpal) 's Twitter Profile Photo

Introverts stay quiet, but they notice everything. When you lie, they laugh it off. When you argue, they let you win. When your facts are wrong, they play along. They know how to hurt you. Absolutely destroy you. But they always forgive. Because inside, they know how it feels.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

CCM wamechagua mwisho mbaya..! Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere. Nimemlalamikia namna serikali ya CCM,CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea

CCM wamechagua mwisho mbaya..!

Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere.

Nimemlalamikia namna serikali ya CCM,CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea