One of one (@one_of_one_24) 's Twitter Profile
One of one

@one_of_one_24

ID: 1853819270691737600

calendar_today05-11-2024 15:19:10

2,2K Tweet

61 Followers

54 Following

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

HOTUBA YA RAIS DKT SAMIA AKISHIRIKI HAFLA YA UTOAJI TUZO ZA SAMIA KALAMU AWARDS - Tuzo za Habari za Matokeo ChanyA+ youtu.be/imbbFHrFT9A?si… via YouTube

Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) 's Twitter Profile Photo

Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo JakayaKikwete (JKCI) Eva Wakuganda akimpima kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echocardiography)

Mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki unaoendelea katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma, umefikia asilimia 90 huku ukitarajiwa kukamilika Juni 2025.

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atangaza kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Hayati Mhe. Cleopa David Msuya,