OBNM🥀 (@onceaboynowaman) 's Twitter Profile
OBNM🥀

@onceaboynowaman

Put God First|
Dragon🐉㊙️|
ℙ𝕝𝕒𝕪𝕖𝕣 𝟚.𝟘|
icon🤍|

ID: 1603760059170918401

calendar_today16-12-2022 14:33:01

21,21K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

Kaji (@kaji_sijo) 's Twitter Profile Photo

VIJANA DEMU AKIMUACHA MWANAUME MWENZIO KWAAJILI YAKO USIJI COMMIT KWAKE PIGA ONDOKA. . 01. ALIYO YAPITIA HAJI MANARA Haya tuliyo yaona leo ni matokeo ya muda mrefu sana kati ya Haji Manara na Zaylisa. Ipo hivi Baada ya wawili hao kila mmoja kuachana na mpenzi wake wa zamani

VIJANA DEMU AKIMUACHA MWANAUME MWENZIO KWAAJILI YAKO USIJI COMMIT KWAKE PIGA ONDOKA.
.

01. ALIYO YAPITIA HAJI MANARA
Haya tuliyo yaona leo ni matokeo ya muda mrefu sana kati ya Haji Manara na Zaylisa.

Ipo hivi Baada ya wawili hao kila mmoja kuachana na mpenzi wake wa zamani
Dullah_theKing🎧 (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

Tunadai BoomPlay ndio tunajivunia nayo sana, ila hata mule Wapopo wametubamiza vile vile. OMAH LAY amesikilizwa × 1B 🙌🏽 Tatizo sio Platfform tatizo ni Muziki wetu ama niwe Mzalendo 😂

TRUST ME BRO (@mwenyekit_i) 's Twitter Profile Photo

Dear brother/Sister; Umri wako ni wa kuona age mates wakiwa na pesa nyingi kuliko wewe,biashara na kazi nzuri kukuzidi, wakioa/kuolewa na kuwa na familia, wakisafiri na kutimiza ndoto zao. Usiwe na pressure destiny zenu hazifanan, fanya kazi ishi vile unaweza muda wako utacum.