Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile
Omar Said Shaaban

@omarshaaban80

ACT Wazalendo Principal Legal Counsel and Minister for Trade and Industrial Development (SMZ)

ID: 4041803781

linkhttp://www.saidattorneys.com calendar_today25-10-2015 22:06:29

2,2K Tweet

8,8K Takipçi

623 Takip Edilen

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

ZIARA AWAMU YA PILI 1. KC Dorothy Semu: Tanga Handeni Vijijini. 2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Temeke 3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Mtwara Vijijini na Mtama 4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Ruvuma Jimbo la Nyasa Mbambabay #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

ZIARA AWAMU YA PILI

1. KC Dorothy Semu: Tanga Handeni Vijijini.

2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Temeke

3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Mtwara Vijijini na Mtama

4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Ruvuma Jimbo la Nyasa Mbambabay

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo
Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo Ndugu, Dorothy Semu amepanda jukwaani kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Handeni Vijijini. Fuatilia hapa 👇 x.com/i/spaces/1RDGl…

ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

📍Handeni Vijijini, Tanga "Kutokana na NFRA kushindwa kuwa rafiki kwa Wakulima sasa wametokea madarali rukuki wanao nunua mazao kwa Wakulima kwa bei ya chini na kuendelea kumfanya Mkulima kukosa ahueni ya kazi ya mikono yake" Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu

Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

📍Kibaha Vijijini "Vyombo vya usalama vimeshindwa! Tumeendelea kuona matukio ya utekaji na mauaji yakileta hofu kwa wananchi. Tunataka majibu. Tunataka Rais aunde Tume ya Kijaji kuchunguza matukio haya. Kisha itoe majibu kwa Wananchi." Kiongozi wa ACTWazalendo Dorothy Semu

📍Kibaha Vijijini

"Vyombo vya usalama vimeshindwa! Tumeendelea kuona matukio ya utekaji na mauaji yakileta hofu kwa wananchi. Tunataka majibu. Tunataka Rais aunde Tume ya Kijaji kuchunguza matukio haya. Kisha itoe majibu kwa Wananchi."

Kiongozi wa ACTWazalendo
Dorothy Semu
Salim Bimani (@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu amefanya mikutano ya hadhara katika Jimbo la Handeni Vijijini. Ndugu KC katika hotuba yake amezungumzia namna Wakulima wanavyonyanyaswa na NFRA. KC ametaka wakulima kulipwa fedha zao papo kwa papo. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

Kiongozi wa ACTWazalendo, Ndugu Dorothy Semu amefanya mikutano ya hadhara katika Jimbo la Handeni Vijijini. Ndugu KC katika hotuba yake amezungumzia namna Wakulima wanavyonyanyaswa na NFRA. KC ametaka wakulima kulipwa fedha zao papo kwa papo.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo (@actwazalendo) 's Twitter Profile Photo

PICHA Jana Kiongozi Mstaafu wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amefanya Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe. Leo Mwami yuko Njombe Mjini; ambako atafanya mkutano wa hadhara. #Miezi10 #WanachamaMilioni10

PICHA

Jana Kiongozi Mstaafu wa ACTWazalendo, Ndugu Zitto MwamiRuyagwa Kabwe amefanya Mkutano wa Hadhara katika Jimbo la Ludewa Mkoani Njombe. Leo Mwami yuko Njombe Mjini; ambako atafanya mkutano wa hadhara.

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

ZIARA AWAMU YA PILI SEPT 14 1. KC Dorothy Semu: Tanga Jimbo la Kilindi. 2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Ukonga 3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Jimbo la Mafia. 4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Jimbo la Njombe Mjini #Miezi10 #WanachamaMilioni10 ACTWazalendo

ZIARA AWAMU YA PILI SEPT 14

1. KC Dorothy Semu: Tanga Jimbo la Kilindi.

2. M/Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita Jimbo la Ukonga

3. Katibu Mkuu, Ado Shaibu Jimbo la Mafia.

4. KC Mstaafu, Zitto MwamiRuyagwa Kabwe: Jimbo la Njombe Mjini

#Miezi10 #WanachamaMilioni10
ACTWazalendo
Salim Bimani (@salimbimani2) 's Twitter Profile Photo

Katibu wa Idara ya Fedha, Ndugu Rachel Kimambo akizungumza na wakaazi wa Kata ya Ruhuhu Ludewa Mkoani Njombe. Ndugu Rechal yuko katika Msafara wa Mwami Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwenye ziara hii ya awamu ya pili; ziara yenye madhumuni ya kushajiisha usajili wa #WanachamaMilioni10 kwa #Miezi10

Katibu wa Idara ya Fedha, Ndugu Rachel Kimambo akizungumza na wakaazi wa Kata ya Ruhuhu Ludewa Mkoani Njombe. Ndugu Rechal yuko katika Msafara wa Mwami Zitto MwamiRuyagwa Kabwe kwenye ziara hii ya awamu ya pili; ziara yenye madhumuni ya kushajiisha usajili wa #WanachamaMilioni10 kwa #Miezi10
Omar Said Shaaban (@omarshaaban80) 's Twitter Profile Photo

Democracy does require basic bonds of trust between citizens. It doesn’t work if we think the people who disagree with us are all motivated by malice. It doesn’t work if we think that our political opponents are unpatriotic or trying to weaken government efforts. Democracy grinds

You and I, as citizens, have the power to set this country’s course. You and I, as citizens, have the obligation to shape the debates of our time, not only with the votes we cast, but with the voices we lift in defense of our most ancient values and enduring ideals.

Ismail Jussa (@ismailjussa) 's Twitter Profile Photo

Demokrasia yashuka ulimwenguni - IDEA International "Kwa mujibu wa Ismail Jussa, bila ya chaguzi zenye kuheshimika, imani ya wananchi kwa mifumo ya uchaguzi itazidi kuporomoka na hatimaye wataachana kabisa na tukio hilo muhimu la kidemokrasia." p.dw.com/p/4kiIz?maca=s…

Jebra Kambole (@advocate_jebra) 's Twitter Profile Photo

Hii ina watu wanafiki sana, watu ambao wana ulinzi kila kona tena ulinzi wa kodi zetu wanasema nchi iko salama na raia wako salama! Kumbe wako salama wao na familia zao kwa sababu wana ulinzi, tuwakumbushe kuwa wote tuna haki ya kulindwa lakini sio kila mtu ana walinzi kama wao!